Nashukuru kumbe mnatembelea sanaaa FB wall yangu!!! Hii kwangu ni njema! karibuni sana wall ya Katibu Mwenezi wa CCM
Nnauye Jr,
..sasa ilikuwaje ukapanda jukwaani na Edward Lowassa huku umekuwa ukizunguka nchi nzima kusema kwamba utamvua gamba??
..kwa kweli pale ulijivunjia heshima kabisa. Nape huna principles. sidhani kama kuna uhalali wowote ule wa kuendelea kuamini kauli zako.
..je, in the future tutarajie kwamba utashiriki pamoja na Andrew Chenge ktk kupiga kampeni???