Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

Mwapachu hawezi kuandika vitu kama hivyo, watu wamejiandikia tu. Kitu kingine haya mambo ya kusema eti mwenzake alimuahandi kwamba akitoka Uongozini basi atamwachia kiti - wana maana gani? kwani Tanzania imegehuka lini kuwa Taifa la kifalme au!!!

Taifa ni pale ambapo ndugu wadamu moja wanaachiana nafasi za kulitawala taifa. Lowassa na Kikwete siyo ndugu wadamu.
 
Hapa chini ni employment history ya Lowassa kama inavyopatikana kwenye tovuti ya bunge:


  • Ministry of Water and Livestock Development Minister from 2000 to 2005
  • State, Vice President's Office Minister for Environment & Poverty from 1997 to 2000

  • The Parliament of Tanzania Member - Monduli Constituency From 1995 to 2015

  • Ministry of Lands, Human Settlement Development Minister from 1993 to 1995

  • State, PM Office and First VP Minister (Judiciary &Parliamentary Affairs) from 1990 to 1993

  • Arusha International Conference Centre Managing Director from 1989 to 1990

Sasa hayo madaraka ambayo alipewa na Mwalimu kwenye baraza la mawaziri ni mwaka gani na position ipi? Hata wale wanaomtuhumu Lowassa, wanaanza kutoa reference yao wakati akiwa AICC na hapo inaonesha Lowassa alikuwa AICC from 1989 to 1990... je, wakati huo Mwalimu alikuwa ni kiongozi wa nchi? Au unazungumzia CV inayonesha kwamba aliwahi kuwa Party Executive-District, Regional &Head Office from 1977 to 1989? Hivi hilo ni jambo la ajabu kwa watu ambao walimaliza vyuo vikuu enzi hizo?

Tukijibu swali kwanini Mwalimu aliuataja ufisadi wa Lowassa 1995 jibu mbona lipo wazi? CV inaonesha wazi kwamba Lowassa alianza kuhudumu uwaziri kuanzia 1990 towards hiyo 1995 huku akiwa ameshika uwaziri wa ardhi 1993 to 1995 na watu wanaomtuhumu hiyo ni nafasi ambayo Lowassa aliitumia vibaya sana kujinufaisha mwenyewe!

Tunaweza kuendeleza ushabiki wetu lakini Lowassa ni mtu ambae hasafishiki never ever na ndio maana hata mwenyewe akiulizwa swali kuhusu ukaribu wake na mafisadi huwa anakimbilia kusema anachukia umasikini as if ili kuondokana na umasikini basi unaapaswa kuwa jirani na mafisadi!!
 
Crabat umeniacha njia panda! Je makanisa makubwa gani haya? Na je agenda yao kubwa ni nini?

Ni wazi RC hawamtaki na Lutherans na wengineo walidhani huu ni wakati wao, hata wakati ule Malecela aliundiwa zengwe lakini moja ya sababu ni kama hizi.
Inawezekana Kikwete hakumtaka lakini mashinikizo kutoka huko pia yalimu ogofya sana. Kikwete ni mtekelezaji mzuri wa maagizo yote ya RC .
Haya yanafanyika zaidi katika ngazi za uongozi lakini waumini wana misimamo yao.
 
MAKONGORO NYERERE ARUDI NCHINI
Atoa, Neno
Nanukuu

"Hakuna brashi wala sabuni ya kumsafishia Lowasa hadi awe safi Asema ..Amkaribisha Slaa ccm asema asiache siasa."

And who is this man called Makongoro ?
 

The writings have unimaginable intellectual value.
 
Acheni propaganda. Tafuteni amani na Dr. wa Ukweli. Mlichomfanyia sio kizuri.
 
...Sasa hayo madaraka ambayo alipewa na Mwalimu kwenye baraza la mawaziri ni mwaka gani na position ipi?..
Pengine alikusudia kuwa alipewa wazifa wa uwaziri wakati Mwalimu angali hai. Kama ni kweli alikuwa ni fisadi kwa kiwango tunachoambiwa na Mwalimu hakumtaka, ilikuwaje Ben akamuweka katika baraza lake? Inakuwaje mteule wa Mwalimu akateuwa fisadi tena 'aliyetajwa' na Mwalimu katika vikao rasmi vya chama? Hakuogopa kukemewa?
 
Taifa ni pale ambapo ndugu wadamu moja wanaachiana nafasi za kulitawala taifa. Lowassa na Kikwete siyo ndugu wadamu.

Mkuu population ya Tanzania anakaribia Million Hamsini 50Mil. Kwani Mtanzania mwenzetu huyu ana nini cha ziada kuwazidi Watanzania wengine, rais anapigiwa kura na wananchi sio na baadhi ya vyombo vya habari nchini vinavyo zuga wananchi na takwimu za kubuni tu, Watanzania wa leo ni weledi sana wanajua wanacho kitaka kutoka kwa Rais mtarajiwa - propaganda za kuchonga notwithstanding.
 
mshapoteza mchezo, mkajipange kwaajiri ya 2020

Hahahahaa siasa ya kibongo bana ushabiki tu hakuna anaejielewa hahahahahahaa

Ngoja tuone mwaka huu utaona kura za huruma na za hasira Vasco dagama kaaribu chama chenu CHA misukule hahahhahah
 
Nchi hii sidhani kama imetokea mtu kuachwa kwenye baraza la mawaziri kv tu ana tuhuma za ufisadi; hilo moja lakini pili, usisahau kwamba mambo ambayo hatimae Mkapa alikuja kuyafanya hata Mwalimu mwenyewe yalikuja kumshangaza na kama angeweza kushuhudia misimu yote miwili ya utawala wake, basi hakuna shaka Mwalimu angejilaumu sana! Jambo ambalo lipo wazi kabisa kwenye kumbukumbu za walio wengi ni pale Mkapa administration ilipoipiga bei NBC Ltd mbele ya macho ya Mwalimu ingawaje Mwalimu alionesha wazi kutokubaliana na jambo hilo! Itoshe tu kusema kwamba, Nyerere asingweza kumwamulia Mkapa nani awepo kwenye serikali yake na nani asiwepo na pia Mkapa asingeweza kumwacha Lowassa kwavile tu uadilifu wake umetiliwa shaka... hilo linawezekana kwingine lakini sio Tanzania, na in fact, Afrika!
 
Lakini si ni mashaka hayo hayo ambayo kwayo tunaambiwa Mwalimu alimkataa? Inawezekana Mwalimu alitia chumvi tuhuma hizo ili kumpitisha "mtu" wake? Maana kama zilikuwa ni tuhuma zenye maana sana, kwa kweli nisingetegemea mtuhumiwa azawadiwe uwaziri tena katika term ya kwanza tu ya Ben!
 

Yaani hapo kwenye bolds mzee mwapachu alitaka ccm iwatose wengine na kumpitisha EL eti kwa kuwa walikubaliana na kikwete! swali linajitokeza kuwa ni kwanini hawakupinga wengine wasijiingize kwrnye kinyang'anyiro ndani ya ccm? haoni kuwa kumpitisha EL kwa kuwa tu walikubalian na Jk ni kuwafanyia mizengwe wagombea wengine kama pinda,magufuri,membe nk?
 

Yaani hapo kwenye bolds mzee mwapachu alitaka ccm iwatose wengine na kumpitisha EL eti kwa kuwa walikubaliana na kikwete! swali linajitokeza kuwa ni kwanini hawakupinga wengine wasijiingize kwrnye kinyang'anyiro ndani ya ccm? haoni kuwa kumpitisha EL kwa kuwa tu walikubalian na Jk ni kuwafanyia mizengwe wagombea wengine kama pinda,magufuri,membe nk?
 
In the language and practice of business, what the CCM did in Dodoma in its inner party electoral process to nominate its candidate for October 2015 Presidential election is tantamount to 'divestiture'.

Most well managed business companies undertake divestitures based on a well planned decision of investing in success. They discard what they consider to be 'non-core' business whose value has withered. They determine, thoughtfully, that the cost of keeping such non-core business is corrosive and financially damaging.

Such divestitures are always objectively considered and the best of the company's brains are solicited to offer transparent and fair opinion. It is always known that without such intensive and intense approach in arriving at a divestiture decision the consequences for the company can be nerve-wrecking and financially catastrophic.

The CCM's 'divestiture' of Edward Ngoyai Lowassa was, unfortunately, not based on such a thoughtful process. CCM decided to close its eyes, ears and brains to the human asset potential and value that Lowassa represents. The Tanzanian 'customer base' was totally abandoned by the CCM in its approach.

Indeed, even the morale of CCM's top echelon, cadres and foot soldiers has become not only depressed but also fractured. Lowassa's 'divestiture' will undoubtedly bankrupt CCM as a political firm. And history will no doubt judge those who were CEOs and Board Directors of CCM as political justice will fairly determine.
 
Ccm is a dead dog corpse,hakuna tena muda,kwenye kura za maoni kungeweza kuwa rejoin after that Hc saga,unfortunately it again failed to grab the sheer chance that could make them firm again,no way,let the bygone be bygone.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…