Yaani Mwapachu anadiriki kusema Nyerere ni muongo ili tu ahalalishe kitendo cha Lowassa kununua nafasi ya kugombea urais Chadema na kumtosa Slaa. Yaani Edo kutoswa CCM kaonewa ila Slaa kutoswa Chadema ni sawa.
Kweli pesa mwanaharamu...
Mwapachu unasema Nyerere Muongo! Hakia Mungu laaana ikushukie!

Mzee wewe acha kupotosha watu. Ni watu kama nyie mmelifana taifa letu likose sincerity. Kumuunga mkono ndumila kuwili ni jambo la ajabu kulisikia kutoka kwako. Nyie mmepewa dhamana kubwa huko nyuma, lakini hamkutupeleka popote. Hapa unachoelezea ni uswahiba wako na huyu jamma. Tumewashuhudia walafi wa madaraka kama vile Savimbi. Leo tunaona Savimbi wanajitokeza kwetu. Savimbi alikuwa ni ndumila kuwili.
Huyu jamaa naye ni ndumila kuwili. Nyoka wa aina yake, anayeuma mbele na nyuma. Jana yuko chama hiki, kesho yuko chama kingine. Ndio sababu watu kama Dr. Slaa, tunamuelewa msimamo wake. hataki unafiki katika siasa. Siamini kama asingeahidiwa kugombea uraisi, angeenda UKAWA. Hii ni nini kama sio askari u-mamluki na u-nafiki??
Amesema CCM sio baba yake wala mama yake. Je angefika hapo alipo kama sio CCM?
Huyu, hakuona chochote zaidi ya kuwa Rais. Amenunua hadi makontainer ya sare hata kabla ya vikao kuanza. Nchi hii inayo inteligensia. Iliyaona yote haya.
Yaani Mwapachu anadiriki kusema Nyerere ni muongo ili tu ahalalishe kitendo cha Lowassa kununua nafasi ya kugombea urais Chadema na kumtosa Slaa. Yaani Edo kutoswa CCM kaonewa ila Slaa kutoswa Chadema ni sawa.
Kweli pesa mwanaharamu...
Kwani Nyerere hawezi kuwa Mwongo?
Mwapachu unasema Nyerere Muongo! Hakia Mungu laaana ikushukie!
Yaani Mwapachu anadiriki kusema Nyerere ni muongo ili tu ahalalishe kitendo cha Lowassa kununua nafasi ya kugombea urais Chadema na kumtosa Slaa. Yaani Edo kutoswa CCM kaonewa ila Slaa kutoswa Chadema ni sawa.
Kweli pesa mwanaharamu...
Chadema ishauzwa, sasa ni team Edo. Dr. Slaa kafukuzwa kama mpangaji asiyelipa kodi!!!

Kwani ccm ndio iliyo mzaaa tumia akili kufikiri!!Mzee wewe acha kupotosha watu. Ni watu kama nyie mmelifana taifa letu likose sincerity. Kumuunga mkono ndumila kuwili ni jambo la ajabu kulisikia kutoka kwako. Nyie mmepewa dhamana kubwa huko nyuma, lakini hamkutupeleka popote. Hapa unachoelezea ni uswahiba wako na huyu jamma. Tumewashuhudia walafi wa madaraka kama vile Savimbi. Leo tunaona Savimbi wanajitokeza kwetu. Savimbi alikuwa ni ndumila kuwili.
Huyu jamaa naye ni ndumila kuwili. Nyoka wa aina yake, anayeuma mbele na nyuma. Jana yuko chama hiki, kesho yuko chama kingine. Ndio sababu watu kama Dr. Slaa, tunamuelewa msimamo wake. hataki unafiki katika siasa. Siamini kama asingeahidiwa kugombea uraisi, angeenda UKAWA. Hii ni nini kama sio askari u-mamluki na u-nafiki??
Amesema CCM sio baba yake wala mama yake. Je angefika hapo alipo kama sio CCM?
Huyu, hakuona chochote zaidi ya kuwa Rais. Amenunua hadi makontainer ya sare hata kabla ya vikao kuanza. Nchi hii inayo inteligensia. Iliyaona yote haya.
tafadhali tukumbushe alikuwa na wadhifa gani kipindi cha Mwalimu?hapo umetia chumvi lowassa hakupata kuwa waziri enzi za mwalimu