Kauli ya Msigwa kuhusu Red Brigade, ni dhahiri CHADEMA wanacheza mbwa kachoka!!

BUKU 7, green guard mnawatumia kuvuruga amani ya nchi, kwa kuwapa buku 5, na raba mtoni, inatosha sasa, NI JUKUMU LA KILA MTU KUJILINDA, POLISI NI KAMA MBWA WAKIAMBIWA SHIKA HAWANA MDA WA KU REASON KWAMBA MA BOMU WANAYORUSHA YANAWEZA KUUA HATA MAMA ZAO, DADA ZAO HATA WATOTO WAO, COZ WATU WENGI TUNAO ENDA KWENYE MIKUTANO YA CHADEMA NI SISI WATU MASIKINI, NYIE HAMSIKILIZWI, WATU HAWAJI KWENYE MIKUTANO YENU, MMECHOKWA, MSIFOSI, MNAOGOPA JELA????? LAZIMA MUENDE, NA JUKUMU LA KULINDA AMANI KTK NCHI HII NI LETU SOTE, KAMA POLISI WAMESHINDWA, WACHA TUJILINDE WENYEWE.

INATIA UCHUNGU UKIWAONA WANALALA KWENYE MBAVU ZA MBWA NA FULL SUTI, MISHAHARA MIDOGO, BADO WANATUMIKA KISIASA, KWA FAIDA YA MAFISADI. UPEO MDOGO WA KUFIKIRI NA KUONA MAMBO.

Vibaka wote ndio wanaolichukia jeshi la POLISI,tutawapekua hadi uvunguni,smart room kama kawaida nchi itatulia kabla ya 2015

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Empty tank! do your home work, refill and come back.
 
Hizo ni personal judgments zako na sisi wengine pia tunaamini kuwa kuwa CDM wapo makini na wanajua wanachokifanya. Ushahidi ni jinsi wakubwa wa chama chako wanavyo hangaika baada ya kusikia umakini wa CDM.
 
kama mnajua chadema ni watu wa matamko tu kwa nini mnahangaika sana na matamko yasiyo na tija? Yaani mpaka Rais wa nchi na jeshi la polisi wanapoteza muda kuandika matamko ya kujibu tamko la chadema lisilo na vitendo? Ina maana viongozi wote hao na wewe unayeandika humu hamna kazi kabisa wala akili mpaka mnajihangaisha namna hii na matamko ya chadema yasiyo na madhara??? Kweli ninyi mna kazi.

Hata hivyo, tangu uanze kuandika mada nyingi sana humu kuna shemeji yangu anayeitwa PASCAL wa JF yeye naona amepunzika siku hizi anafuatilia mada zako tu.
Za mbayuwayu changanya na zako...mtu mzima yuko kazini kuhakikisha Mamvi anatinga Ikulu kwa gharama yoyote ile.
Ila baadhi ya watu au wengi wao wameshindwa kugundua hata uandishi wake. Hii ni mikakati kuelekea 2015.
 
hoja ni kwamba, tamko la mbowe kuhusu kuanzisha red brigade ni uongo na wala hana uwezo wa kufanya hivyo.

Chadema hakina fedha (fedha nyingi zinatumika kwa kupeana posho na safari ya ulaya), sasa pesa gani zitalea kikosi?

Fungua ubongo huo wewe msukule.

msukule mwenyewe, unamwita mwenzio msukule wakati wewe ndio msukule wa ccm
 
mkuu hii strategy ni sawa kabsa chadema ifikirie jinsi ya kujilinda na kulinda viongozi ,jeshi letu limekosa maadili ya kikazi na kupelekea lisiaminiwe tena tumeona hata ziara ya rais wa america obama jinsi polisi walivyokuwa mbali hata waziri wake tu ukiacha kova aliyeamua kuvaa magwanda ya jeshi ili walinzi wa kiamerica wamkubali lakini hali ilikuwa ngumu kwake .Chadema itafute kwa namna yeyote ile jinsi ya kujilinda na kulinda wapiga kura wake ambao ni mtaji muhimu kuelekea 2015.tusirudi nyuma kamwe
 
Hivi HAMY-D kuna uhalali gani wa CCM kuwa na Green Guard??? Mimi si -support ma-Green Guard yenu wala Ma-Red Brigade yenu, mnatuletea tu matatizo kwenye nchi yetu tulivu.

Kila chama kikiwa na madudu yenu hayo nani atamlinda mwenzake??? Embu acheni ushabiki wa vyama vyenu na muwe focused na issues zenye tija, Cc Mikael P Aweda.
 
Laiti kama ungemwona Mwenyekiti wa chama chako anavyohaha kuhusu suala hili, kamwe usingejifariji kihivyo!
 
inaonesha namna gani mlivokuwa mpepanga kuidhuru CHADEMA, me nasema ni wakat muafaka wa CHADEMA kujilinda, ukitaka kujua mchawi leta mganga! eendeleeni kuhaha.
 
Huyu naye ndiyo waajabu kabisa alianza wizi kitambo mpaka leo nenda kazini kwake pale kisalawe plan international anasifika kwa majungu udokozi na,majungu na uvivu wa kazi kazi hawezi zaidi kupiga story za chadema mda wote.

Kuna msemo kuwa watu wenye akili ndogo hujadili watu
 
Mkuu ukimjadili msigwa jua kwanza elimu yake ili ujue unamjadili mtu wa aina gani kichwa ni hewa tu hana kitu pale kunagwanda tu hakuna mtu pale.


Ninaamini kama kuna mtu mwenye kichwa KITUPU hakuna anayemzidi Hammy-D. Huyu ni empty kabisa.
 
Mkuu, ni vitisho vya Mbowe na CHADEMA yake kutaka green guards ifutwe.

Ila ukweli ni kwamba, chadema hawana pesa na raslimali za kuunda kikosi.

Watu wengi tumedanganyika, hata mimi niliamini wanaweza, ila hawana resources.

Serikali iwapuuze tu!

tulia mnyolewe mnasema hawana pesa huku mnaweweseka kila kona ya nchi,,
 
WanaJF!

Mchungaji Msigwa nae kaeleza ya moyoni kuhusu maamuzi ya CHADEMA kuhusu kuanzisha kikosi cha kujilinda (Red Brigade), nayo ni kama ifuatavyo;

"Kwa muda mrefu sana tumewalalamikia kuwa CCM wanaweka watu makambini wale wanaitwa Green Guard, wanatupiga, polisi wamekaa kimya, hawachukui hatua, tunasema tutajilinda, wanasema tutawachukulia hatua. What is this?"

My take;

Ni wazi kuwa CHADEMA haina mpango wa kuanzisha kikosi chochote cha kujilinda, bali ni mbinu tu ya kutaka 'attention' ya serikali na wananchi kwa ujumla.

Mchungaji Msigwa kwenye maelezo yake unaweza kugundua kuwa hana uwakika wa hicho kikosi cha Red Bregade kuundwa, ila utaona kuwa anataka serikali ichukue hatua dhidi ya Green Guards.

Aidha, kwa mazoea tuliyonayo kwa CHADEMA ni kwamba wao ni watu wa matamko, na tukifanya ufatiliaji, matamko yao mengi hayatekelezeki, hivyo ni uzushi tu wa Mbowe kuhusu kuanzishwa kwa hicho kikosi.

Licha ya hivyo, CHADEMA hawana eneo la kuweza kufanya hayo mafunzo, pesa na raslimali zingine, wataalamu wenye kuweza kufundisha hayo mafunzo, sasa watawezaje kuandaa mafunzo ya namna hiyo?
Subiri uone. Chama kina Shamba la ekari 800 pale Kibaha na Mafunzo yatazinduliwa pale. Hayo ni maneno ya ndani kabisa. Kalaghabaho
 
Sijawaelewa ndugu zangu ccm,,,,, kweli chadema chama kubwa,,,,,, ile green guard ni ya nini,,,sasa chadema wana upya gani.... Viva makamanda.
 
Red brigade iimarishwe. Nitajikumbusha mbinu za medani niliyopata Jkt operation Azimio La Arusha kule Msange, Ruvu na Itende Mbeya. Natangaza kujiunga anytime from now.
 
Back
Top Bottom