Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

..tatizo lenu ni kuamini taratibu za CCM mnadhani ndiyo taratibu za nchi.

..kutafuta wadhamini kimya-kimya ni utaratibu wa CCM.
Ni kanuni zilizotungwa na NEC, walishirikishwa vyama vyote way kabla ya mimi na wewe kuzijua na wakabariki kabla azijatolewa kwa umma.

Kama nilivyokwambia kuna reasons behind hizo kanuni na tarehe za events zinazopangwa.
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Lissu anawakosesha amani sana hawa CCM
 
easy kwasababu wanaogopwa hvyo figisu juu yao ni lazima wahisi
 
Lissu hafanyi kampeni kisheria. Kampeni ni mpaka utangazwe rasmi Aug 25 sasa ukisema kampeni leta sheria tuione.
 
Tujitahidi Sana kuacha propaganda !!!!! Ibua hoja au toa hoja yenye faida kwa Umma Na siyo maneno ya ' kishabiki shabiki ' !!!
 
hivi ni mimi ambae sielewi au? mbona 2015 lowasa akiwa CCM kabla hajakatwa alikua aita safari ya matumaini alikua na mabasi yanapita kila mkoa wanachi ni kupanda na ilikua ni harakat kweli...iweje lissu ndio aonekane kwa Nec? lissu akikubali atakua fala japo najua hawezi kamwe
 
Ni kanuni zilizotungwa na NEC, walishirikishwa vyama vyote way kabla ya mimi na wewe kuzijua na wakabariki kabla azijatolewa kwa umma.

Kama nilivyokwambia kuna reasons behind hizo kanuni na tarehe za events zinazopangwa.

..kweli, tatizo mnazitafsiri vibaya.

..kama kuna mwanasiasa ametenda kosa wakati huu, kabla tume haijamthibitisha kuwa mgombea, Polisi ndio wanaotakiwa kushughulika naye.

..kama kuna mwanasiasa ametoa kashfa basi Polisi wamkamate na kumshtaki, huwezi kupeleka malalamiko hayo kwa Tume ya Uchaguzi, kwasababu kashfa hiyo haijatolewa wakati wa kampeni.
 
Kwa hiyo wewe ukipigiwa simu na Maguful ukiwa uacheza disco hiyo inamaanisha anapiga Kampeni

Mbona Mimi juzi alinipigia nilikuwa katikati ya rusha roho najimwayamwaya disco Kwa kwenda mbele!, We vipi mkuu
kuna audio ilikua inawekwa magufuli akiomba kura za watanzania katka tamasha hilo angalia mida wametoka tmk kuimba ni moja ya muda liliwekwa
 
Utaenguliwa wewe na ccm yako
Sina ushabiki wa vyama, nishaachana navyo, back to 2015, mimi nilikuwa ni CDM damu, nakushauri pia kama ushabiki wa vyama haukuingizii hela achana navyo, namaanisha kama hizi bilioni 300+ za uchaguzi milioni hata 1 - 2 zisipopita kwenye mikonobyako jiite msukule, siasa siyo kwa ajili yako
 
Basi wa kukatwa ambaye ameanza kampeni kabla ya tarehe 26.08,ni Magufuri nadhani hata Lissu alilisema!
Mbali na hapo Lissu licha ya kutoa maneno makali kwa Magufuri sidhani kama amefanya kampeni.
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Hakuna mtego wowote Tundu Lisu atahukumiwa kwenye box la kura 28 October!
 
Kama unafuatilia vizuri, Magufuli, Membe, Lissu... wote wamekusanya watu kwa degree tofauti kipindi hiki. Labda sasa uniambie tu kwamba sheria inasema ukiwakusanya mara moja ama mbili siyo kosa.
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
 
Nawe utumie kichwa chako kufikiria vizuri, wao wenyewe wanajua kwa sasa hivi hawawezi kushinda uraisi, uchaguzi utakao kuwa moto ni wa 2025, kinachoangaliwa hapa ni ruzuku tuu mnapoteza muda na upuuzi
Sasa wewe makosa ya chadema yanakuumiza nini badala ya kutumia bundle ulilopewa kumsifia Magufuli
 
..kweli, tatizo mnazitafsiri vibaya.

..kama kuna mwanasiasa ametenda kosa wakati huu, kabla tume haijamthibitisha kuwa mgombea, Polisi ndio wanaotakiwa kushughulika naye.

..kama kuna mwanasiasa ametoa kashfa basi Polisi wamkamate na kumshtaki, huwezi kupeleka malalamiko hayo kwa Tume ya Uchaguzi, kwasababu kashfa hiyo haijatolewa wakati wa kampeni.
Deep down unajua that is not the case.

Unapoenda kuomba kazi kigezo cha mwajiri kikisema applicant asiwe na criminal record ndani ya miaka 3 it means that.

Kanuni zipo wazi ukishachukua form za kugombea uraisi uruhusiwi kufanya campaign mpaka tarehe 26.

Kilichobaki ni kuombea busara itumike NEC lakini kwenye kuvunja kanuni lipo wazi.

Mchana mwema mkuu.
 
Sasa wewe makosa ya chadema yanakuumiza nini badala ya kutumia bundle ulilopewa kumsifia Magufuli
Nimsifie kwa lipi jipya?nimeshamsifia sana pale ninapoona anafanya vyema ninamshushia sifa zake, akikosea pia ninasema amekosea, nimeshamsifia sana kwenye barabara, umeme, maji, ukusanyaji wa kodi n.k unataka niwe ninasifia kila siku?mada iliyopo ni ya lissu, kwa upande wangu ninaona amezingua, sheria zinatafsiriwa, aepuke migongano isiyo ya lazima
 
Deep down unajua that is not the case.

Unapoenda kuomba kazi kigezo cha mwajiri kikisema applicant asiwe na criminal record ndani ya miaka 3 it means that.

Kanuni zipo wazi ukishachukua form za kugombea uraisi uruhusiwi kufanya campaign mpaka tarehe 26.

Kilichobaki ni kuombea busara itumike NEC lakini kwenye kuvunja kanuni lipo wazi.

Mchana mwema mkuu.

..kaka unalazimisha.

..Nimemsikiliza Katibu wa Tume anasema yanayofanyika sasa hivi yanatakiwa kushughulikiwa na vyombo vingine, siyo tume.
 
Back
Top Bottom