Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

Maalim Seif anaendeleaje
 
Kisiasa ndo kivipi tuelezee hapo
 
Lissu hawezi kukatwa hata kama amevunja sheria izo mnazosema

Na ikitokea ikawa ivyo,basi amini kwamba Tanzania itaenda kuweka rekodi mpya ya umwagaji damu kipindi chote cha kampeni.
Anza kumwaga damu yako Kwanza....unazungumza au kuandika kana kwamba kumwaga damu ni Jambo rahisi...yalilipuka mabomu pale gongolamboto watu wakakimbia Hadi chalinze bila viatu na watoto wao wakawaacha Hadi walipokuja kutambuliwa baadaye uwanja wa taifa...msipende kutisha watu na hoja ya umwagaji wa damu...je wewe utakuwa mstari wa mbele vurugu zikianza? Au unahamasisha tu watu huku ukuwa umejificha mahali...
 
Wacheni kuwa na hofu...
Tundulisu hato katwa....
Atakuwepo ili kuonyesha Tanzania ilivyo na demokrasia pia kudhihirisha zaidi ni nchi inayo fanya siasa za uvumilivu na kidemokrasia....
 
Kwa sababu unamfahamu TL mawakili wenginee wote hawafai bali yeye alifikiria zaidi tutashitakiwa MIGA all whatever you call it?
 
Kwa sababu unamfahamu TL mawakili wenginee wote hawafai bali yeye alifikiria zaidi tutashitakiwa MIGA all whatever you call it?
Kwani wewe unaufahamu ukweli wa inshu hiyo? umeusoma wapi? au umesikia ya kuambiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…