Kauli ya Membe imevunja Katiba ya JMT.

Kauli ya Membe imevunja Katiba ya JMT.

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Habari Wana JF.
Viongozi wetu wanaonyesha udhaifu mkubwa ktk kuisimamia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kauli ya mambe kwamba watu auwatanzania wanaoishi nje ya mkoa wa Dsm wasiibngie Dsm, ni sawa na kuvunja katiba yetu. Katiba yetu inamtaka raia ambaye ni mtanzania kuwa na haki ya kutembea eneo lolote ndani ya nchi yake bila kuzuia na mtu yeyote na wakati wowote, sasa huyu membe anaposema watu wasije Dsm eti kwa sababu ya ujio wa Obama, hii ni kinyume na katiba, kwa ufupi membe amevunja katiba na inafaa ashitakiwe kwa kosa hilo.
Nawasilisha.:flame:
 
mmmh foleni ya jana bora tu waje ili watumie masaa 24 kutoka kibaha mpaka Ubungo
 
hii ndo akili ya bangi na viroba.

Habari Wana JF.
Viongozi wetu wanaonyesha udhaifu mkubwa ktk kuisimamia Katiba ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kauli ya mambe kwamba watu
auwatanzania wanaoishi nje ya mkoa wa Dsm wasiibngie Dsm, ni sawa na
kuvunja katiba yetu. Katiba yetu inamtaka raia ambaye ni mtanzania kuwa
na haki ya kutembea eneo lolote ndani ya nchi yake bila kuzuia na mtu
yeyote na wakati wowote, sasa huyu membe anaposema watu wasije Dsm eti
kwa sababu ya ujio wa Obama, hii ni kinyume na katiba, kwa ufupi membe
amevunja katiba na inafaa ashitakiwe kwa kosa hilo.
Nawasilisha.:flame:
 
mkitaka kukaa kwenye folen kwa saa 10 toka kibaha adi mbezi njooni. ila kama upend kupoteza muda wako usije
 
mmmh foleni ya jana bora tu waje ili watumie masaa 24 kutoka kibaha mpaka Ubungo

mdau jana nimekoma,na leo bado nna mizunguko muhim sana,pamoja na kesho city center,,,lakin folen.....WASIJE TU DAR KAMA HAMNA DHARURA
 
Mtu mjinga tu ndiye atakaye Fikiri kwamba watu wanakuja Dar kushangaa bahari na foleni za magari
 
Habari Wana JF.
Viongozi wetu wanaonyesha udhaifu mkubwa ktk kuisimamia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kauli ya mambe kwamba watu auwatanzania wanaoishi nje ya mkoa wa Dsm wasiibngie Dsm, ni sawa na kuvunja katiba yetu. Katiba yetu inamtaka raia ambaye ni mtanzania kuwa na haki ya kutembea eneo lolote ndani ya nchi yake bila kuzuia na mtu yeyote na wakati wowote, sasa huyu membe anaposema watu wasije Dsm eti kwa sababu ya ujio wa Obama, hii ni kinyume na katiba, kwa ufupi membe amevunja katiba na inafaa ashitakiwe kwa kosa hilo.
Nawasilisha.:flame:

Kumbee eenh!Basi Nenda Ikulu magogoni sasa hivi ili nikuamini, kumbe KATIBA inasema unaweza kwenda sehemu yoyote ile ndani ya nchi tena kwa wakati wowote?
 
Mnyamwezi wa Urambo, jifunze kuelewa kilichomo katika katiba, haina maana kwamba uhuru huu wa kutembea ulopewa ndo uende hata chumbani kwa wazazi wako usiku hali ya kuwa wamo baba na mama chumbani, au kwenda ikulu na kuingia bila kufuata utaratibu. Nilichomaanisha/ kilichomaanishwa hapa ni kwa raia yeyote kuwa na haki ya kutembea maeneo yoyote lakini siyo kwa lengo la kuvunja au kuhatarisha amani ya nchi.
 
Habari Wana JF.
Viongozi wetu wanaonyesha udhaifu mkubwa ktk kuisimamia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kauli ya mambe kwamba watu auwatanzania wanaoishi nje ya mkoa wa Dsm wasiibngie Dsm, ni sawa na kuvunja katiba yetu. Katiba yetu inamtaka raia ambaye ni mtanzania kuwa na haki ya kutembea eneo lolote ndani ya nchi yake bila kuzuia na mtu yeyote na wakati wowote, sasa huyu membe anaposema watu wasije Dsm eti kwa sababu ya ujio wa Obama, hii ni kinyume na katiba, kwa ufupi membe amevunja katiba na inafaa ashitakiwe kwa kosa hilo.
Nawasilisha.:flame:

acha kupotosha watu....mh membe kasema kama unakuja dar na safari yako inaweza kusubiri siku kadhha bila kuathiri mambo yako subiri tu ili uepuke usumbufu....lakini kama huwezi kusubiri njoo tu hakuzuii mtu.
hata jumatatu hamna aliekatazwa kwenda mjini ila utapata usumbufu kwa wale wanaoweza kuepuka katikati ya mji wanashauriwa wasije.....HAKUNA ALIEKATAZWA KUJA DAR WALA KUINGIA MJINI....
 
Inabdi katiba iwe somo mashuleni..haki zetu zilizomo kwenye katiba yetu zinavunjwa kila siku.kimekua kama kakitabu flani ambacho akina maana.
 
Haya ni mambo yanaamuliwa na wale wanaomlinda Obama.Wao siku zote wanasema kazi yao siyo kujitahidi kumlinda Obama,kazi yao ni kumlinda. Yaani ukifanya interview ya kuwa mlinzi wa Rais,ukiulizwa mtu akimshambulia Obama,akimuua Obama,wewe,kama mlinzi,utafanya nini? Jibu lake siyo kwamba wewe utakuwa mkali sana kwa mtu aliyefanya kitendo hicho,jibu lake ni kwamba wewe ukichaguliwa katika Secret Service,Obama will not die. Kwa hiyo wale Secret Service wanajadili kitu gani kinahitajika ili Rais awe salama. Hawajadili wao watafanya nini kumlinda Rais,wanauliza in a scientific manner,mambo gani yakifanyika Obama atakuwa salama. Kwa hiyo wanaelezana,we have to shut down the airport,we have to shut down dar es salaam port,so that no terrorists may come,we have to make the sun stand still in the sky,so that it may not be dark. Halafu wakimaliza kufanya hizo discussions,ndio wanaenda kutazama kama mambo waliyojadili yanatekelezeka.
 
Back
Top Bottom