Kauli ya Mchungaji kuelekea Uchaguzi 2015

Kauli ya Mchungaji kuelekea Uchaguzi 2015

#Pasco ,
Nadhani uliandika hivyo ukitumaini unamsaidia, na hicho ni kidogo ulicho andika juu yake. Yamkini unafahamu mengi zadi juu yake. Unaweza kuendelea kutumwagia sifa zake nyingine zinazo elezea aliyo yafanya akiwa kiongozi katika Serikali na Nje ya Serikali?

Wakati nasubiri mifano mingine mingi kutoka kwako ama wachangiaji wengine, nitakuja kutoa general evaluation baadaye.
Mkuu Josam, ningeomba tumuingize kwenye ushindani wa haki,
Kwa kuanzia tupe reference ya Mwinyi alifanya nini kabla ya urais, kilicho justify kustahili kuwa rais wetu?.
Kisha tuje kwa Mkapa, kwa Kikwete then na mimi nitamalizia kwa Lowassa!.

Tangu Lowassa alipotangaza nia ya kuianza safari, kila siku CCM inahamisha miti ya magoli, itahamisha mpaka kutakuwa hakuna tena mahali pa kuhamishia.
Pasco
 
Naona huyu mchungaji haitakii mema CCM. Watanzania tukijiuliza hayo na kuchgaua viongozi kwa vigezo hivyo mbona CCM haitapata hata diwani mmoja, achilia mbali wabunge na Rais

Watanzania wameitunukiwa kwa wema wa muda mrefu CCM, sasa wema huo na shukrani za punda hata saba mara sabini siwezi geuza shavu tena.

Wema tujitendee Watanzania kwa kuondoa kila asiyefaa wasifu huu!
 
..wewe umekuja kuwapigia debe Dr.Wilbrod Sla/a na Tundu Lissu.
 
..wewe umekuja kuwapigia debe Dr.Wilbrod Sla/a na Tundu Lissu.

The Great Serpent,

Sipigii mtu debe, hao wawili wana mapungufu na kwa ushabiki watu humu hawataki kuyasikia.

Kuna wengi wenye hivyo vigezo ndani na nje ya CCM.

hivi ni vigezo vya kujiuyliza kama Taifa, havina chama! Kama Chadema ni chama safi, wasingekuwa na vituko tulivyoviona miaka 10 iliyopita, hata viwe vidogo namna gani!
 
Mkuu tumekusikia, na katika sifa hizo zote, kwa bahati nzuri yupo mtangaza nia mmoja tuu aliyezifika na kuzipitiliza, sio tuu kwa kukubali kukosolewa pekee, bali kukubali kuzibeba dhambi za wengine na kukaa nazo pembeni ili kuliepushia taifa na shari, huku ni kujitoa mwenyewe nafsi yako kwa ajili ya taifa lako!.

Kwenye hilo la uadilifu, mtu mwenye karama ya utajiri, anayetoa sehemu za utajiri wake na kuwagawia masikini, kuwagawia wengine, ni mtu mwenye baraka anayestahili kukabidhiwa nchi ili sasa awagawiye wote!.

Mtu wa aina hii ndiye rais wetu October 25!.

Pasco

You thinks so?
 
..off course Dr.Sla/a na Tundu Lissu wana mapungufu yao.

..lakini naona kama vile ulipokuwa akiandika bandiko hili u had them on ur mind.

..now, be honest with me? Je, hiki "kidongo" nilichokutupia hapa kweli hukukitegemea?

..hili bandiko lako limenikumbusha mbali sana. nimekumbuka hotuba ya Mwalimu Nyerere wakati wa mkutano mkuu wa kumteua mgombea wa CCM mwaka 1995.

..Mwalimu aliweka vigezo bila kutaja jina. lakini kila aliyemsikiliza siku ile alijua Mwalimu alikuwa anawaelekeza wachague mgombea yupi kati ya C.D Msuya, B.W Mkapa, na J.M Kikwete.

..sasa ndiyo maana nasema hili bandiko lako naona linatuelekeza kwa hawa wawili: Wilbrod Sla/a na Tundu Lissu.
 
Ukitaka kujua level ya utumwa wa watanzania kwa wana siasa soma jamiiforum, how comes tumekuwa hivi????? Narudia kusema i wish politics isiwe ni paying business kama enzi zile za ujamaa wa nyerere!!! Wasomi wamenunuliwa, viongozi wa dini wamenunuliwa, hadi media pia zimekuwa watumwa wa fikra za wana siasa,tumeiga american model, hii american model itatuingiza vitani siku moja! I wish tu adopt european model where politics is somehow service delivery work. Nilikuwa germany 2012/2013 wakati wa uchaguzi wao wa chancellor wala huwezi kufeel joto la siasa kama inavyokuwaga africa au america., i wish tuondoe pesa kwenye siasa watu tuconcentrate na kazi za uzalishaji! Ukweli siku hizi hadi maofisini hasa ya serikali watu hawafanyi kazi muda wote ni kupiga soga za siasa
nabold kwa mara nyingine tuondoe pesa kwenye siasa uone kama siasa itakuwa kali kama ilivyo sasa, hadi udini unatumiwa kama mbinu, kisa siasa inalipa!!!
Nawasilisha
 
..lakini naona kama vile ulipokuwa akiandika bandiko hili u had them on ur mind.

..now, be honest with me? Je, hiki "kidongo" nilichokutupia hapa kweli hukukitegemea?

..hili bandiko lako limenikumbusha mbali sana. nimekumbuka hotuba ya Mwalimu Nyerere wakati wa mkutano mkuu wa kumteua mgombea wa CCM mwaka 1995.

..Mwalimu aliweka vigezo bila kutaja jina. lakini kila aliyemsikiliza siku ile alijua Mwalimu alikuwa anawaelekeza wachague mgombea yupi kati ya C.D Msuya, B.W Mkapa, na J.M Kikwete.

..sasa ndiyo maana nasema hili bandiko lako naona linatuelekeza kwa hawa wawili: Wilbrod Sla/a na Tundu Lissu.

Honestly I did not have them on my mind. And I am not even thinking about them at all. Kwangu wao ni mufilisi kama manyang'au wa CCM. Chama ambacho kinababaika kuwa na Sera na Itikadi inayoeleweka kwa wananchi sikipi muda wa ziada. Kama sera ni kuing'oa CCM pekee, kisha hakuna sera na itikadi ya kujenga nchi na kuiongoza nchi ni sawa na kwenda kucheza kamari ukaliwa huna pesa nakopa uendelee kucheza kamari!

Siogopi kukasirisha watu au kuwaambia ukweli:madgrin::becky:

They had opportunity to refine CDM to be a party of substance and not succumb kwenye tuhumatuhuma za fedha, kukosa mfumo sahihi au hata ukabila.

Sina mgombea in mind at all, though kama ni kuangalia kauli za Watangaza nia huyu aliyelamba jike kwenye ugoni kaongea kitu kimoja cha maana ambacho ni reforms!
 
..asante kwa majibu yako murua.

..lakini kwenye bandiko lako la awali sikuona mahali ukielekeza kwamba mgombea awe na SERA, na aamini ktk ITIKADI fulani.

..well, sasa kama tukiongeza vigezo hivyo viwili then kidooogo, kwa mbaaali, naweza kukubalina na wewe kwamba hukuwalenga Dr.Sla/a na Tundu Lissu.

NB:

..kuhusu ITIKADI. Do u have a preference, or anything goes?
 
Nimezungumzia nafsi ya mtu anayegombea, nafsi ya mpiga kura kuangalia na kupima : Utu, Uzalendo, Uimara, Ufanisi, Uadilifu, Uwajibikaji na Umoja.
iwe
Kama hivi ndio vitendea kazi vya msingi mimi kama mpiga kura navithamini ili buheri yangu ya kipato na ustawi viwe na uhakika na ushamiri (kazi, elimu, ajira, pato, haki) basi anayetaka nimwamini na kumpa dhamana ya shahhada yangu ya kura ni lazima naye awe na uwezo wa kuyatenda na kuyaamini kwa dhati hayo 7 ambayo ndio masharti yangu, na naamini ni Watanzania wengi wanayathamini kuliko ahadi za kuletewa utajirio na neema!

Itikadi ni imani ya mtu na jumuia, Sera ni mfumo wa utekelezaji wa Itikadi na kuleta matunda yanayoonekana na kueleweka.

Tulikuwa na Itikadi ya Ujamaa wa Kiafrika, na kuwa na sera ya kujitegemea na tukajenga mazingira ya kukamilisha hilo.

Tumeutupa Ujamaa na Kujitegemea, hatuna sera au itikadi inayoeleweka kichama. ACT ndio jana wametangaza Itikadi na Sera za chama na zinavutia maan azinagusa Utu, Uzalendo, Uwajibikaji, Ufanisi kwa jinsi ninavyozitafsiri mimi na Watanzania wengi.

Uongozi mkuu wa CCM umeizika Itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea, wanachama na wafuasi wengi bado wanaiamini Itikadi hiyo. Sera za kujitegemea zimevunjwa na sera za utajirisho na ushindani wa kibiashara ambazo zinanufaisha wachache na hasa wawekezaji wageni ndio Sera za CCM, na hazinufaishi wananchi na zinalitia Taifa hasara na kuongeza mzigo wa madeni.

Wapinzani wanachechemea kuwapa Watanzania itikadi na Sera za kuamsha hamasa za ujenzi wa Taifa lao. Sanasana Sera an Itikadi zinaelekea ni kuleta mfarakano, mivutano na uchu wa madaraka.

Badala ya Itikadi na Sera, vyama vimekimbilia kutengeneza Ilani za uchaguzi, ambazo ni ahadi za kusadikika na hazieleweki zitapimika vipi.

Ndio maana narudia tena kusema hatuwezi piga hatua bila kuwa na Utu, Uzalendo, Uimara, Uadilifu, Ufanisi, Uwajibikaji na Umoja.

Nguzo hizi zianze kwetu mmoja mmoja, zitambae kama jamii, vyama na Taifa na haya ndiyo yawe masharti ya kura za 2015.
 
dira ya watanzania wote na ccm ipo kwa hawa
1,mwadossya
2,magufuli
3,nyerere
4 muhongo
watu makini wanajiamini kwa sifa zao kiongoza sio wanaotegemea mitandao ambayo imempoza kikwete kuongoza nchi.
 
Mhhhhh!

Tiba, ma GT hawataji majina, wao wanadeal na the ideas tuu!. Hatumii hoja za nguvu kuisaka ikulu, bali ni nguvu za hoja ndizo zinazowashawishi Watanzania kuwa ikulu yetu inamuhitaji mtu mwenye sifa hizi!.

Utajiri wake tumesema zaidi ya mara 100 humu, yeye hana utajiri wowote zaidi ya wale ngo'ombe 1000 alioachiwa urithi!. Pesa zote zinazotumika kumpeke ikulu sio fedha zake bali huchangiwa na marafiki zake!.

Naamini sasa Tiba, tutakuwa tumeelewana!.

2015 Tanzania inahitaji mtu anayekerwa kwa dhati na umasikini wa Tanzania na Watanzania!.
Pasco
 
Rev. Kishoka, habari za miaka mkuu. Umekuwa adimu sana, karibu na asante kwa bandiko hilo la maana.

Vv
 
Mkuu tumekusikia, na katika sifa hizo zote, kwa bahati nzuri yupo mtangaza nia mmoja tuu aliyezifika na kuzipitiliza, sio tuu kwa kukubali kukosolewa pekee, bali kukubali kuzibeba dhambi za wengine na kukaa nazo pembeni ili kuliepushia taifa na shari, huku ni kujitoa mwenyewe nafsi yako kwa ajili ya taifa lako!.

Kwenye hilo la uadilifu, mtu mwenye karama ya utajiri, anayetoa sehemu za utajiri wake na kuwagawia masikini, kuwagawia wengine, ni mtu mwenye baraka anayestahili kukabidhiwa nchi ili sasa awagawiye wote!.

Mtu wa aina hii ndiye rais wetu October 25!.

Pasco

Pasco, huyo mtia nia (mtu) unayemsema hapa ni nani?

Vv
 
My Sister Tiba,, hapa sasa ndipo lazima uukubali ukweli mchungu, kuwa huyu ndie rais wako ajaye!. Ni kweli hao ngombea ndio utajiri wake pekee alioanza nao maisha ila kwa vile huyu ni mtu wa Mungu, hivyo ana upako fulani kama wa Midas, everything he touches turn to gold!. Alipokuwa mgurugenzi wa AICC neema ikamwangukia, akaanza kumiliki land Arusha, Mungu akamuangazia akapewa wizara ya Ardhi, enzi hizo viwanja vikitolewa bure tena prime areas!, akajenga zile nyumba akakodisha mabalozi faida akaitumia kama mtaji wa Alfa!. Mungu akamuangazia zaidi akapewa wizara ya Mifugo, Ranchi ya zaita zikauzwa kwa bei ya bure na yeye uwezo alikuwa nao hivyo akanunua!. Mungu akambariki zaidi na kumfanya akawa Waziri Mkuu wetu lakini katika maandalizi ya kumfanya awe rais wetu, Mungu akampitisha kwenye majaribu ya Richmond, ili iwe kama kawaida baada ya mateso na kifo, huja ufufuko na uzima wa milele, sasa hii ndio safari ya kukitwaa kile kiti alitayarishiwa na Mungu mwenyewe, au hukumsikia TB Joshua?!.

Kilichoanzisha Alfa ni mtaji kutokana na vitega uchumi vyake, hata hizo Nyumba London ni faida tuu kutoka vitega uchumi vyake!.

Kwa vile ni mtu wa Mungu na mwenye upako wa neema, hao marafiki zake wanaomchangia wamejikuta wanabarikiwa sana hivyo kuchanga zaidi na zaidi kama sadaka tuu makanisani, hawasubiri kuja kulipwa baadae ila kila ukitoa tuu unajikuta unazidishiwa mara sabaini fii sabaa!.

Hiyo the bottom you are very right, EL is not clean!, yae he is not, hata JK was not clean, but he was!, hata CCM is not clean, but it is!, hata YULE aliyekuja kuukomboa ulimwengu huu, aliisha sema hakuja kwa ajili ya wakamilifu!, alikuja kwa ajili ya hao hao ambao sio clean!. Na akasema "Wainuliwe wote wenye mizigo waje kwa YEYE wapumzishwe!", ndio maana hata lile zigo la Richmond, amelibeba tuu sio lake, na sasa anasubiri kuinuliwa ili apumzishwe kule juu!.

Kama JK amweza kuwa presidential material na ametutawala miaka hii kumi, EL ni 100 times better, ataiinua hii nchi kutoka huku kwenye vumbi na majajala na kutupeleka kwenye ile nchi ya ahadi, mabomba mchi nzima yatatoa maziwa na asali!.

Hata alipokuja YEYE, mwanzo alikataliwa hivi hivi mnavyotaka kumkataa huyu mtu!, hivyo sasa YEYE aliyemwandikisha atajidhihirisha utukufu wake kwenu, kwa "lile jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!",

Amesema "Huu ni mwamba na juu ya mwamba huu, nitalifa taifa langu!".

Just wait and see!.

Pasco

With just two days to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.

Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.

I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.

Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,

We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.

Pasco
 
Anayefaa kuwa raisi wa Tanzania kwa vigezo hivyo sio mwingine bali mh Edward Lowasa.
 
Back
Top Bottom