zoom me
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 213
- 51
Pasco kabadili maudhui nzuri ya mada hii. Loh
Ni kweli lakini tulikuwa tunamuweka sawa kidogo kwenye mambo ya kiroho....tuendelee kubase kwenye mada
Pasco kabadili maudhui nzuri ya mada hii. Loh
My Sister Tiba,, hapa sasa ndipo lazima uukubali ukweli mchungu, kuwa huyu ndie rais wako ajaye!. Ni kweli hao ngombea ndio utajiri wake pekee alioanza nao maisha ila kwa vile huyu ni mtu wa Mungu, hivyo ana upako fulani kama wa Midas, everything he touches turn to gold!. Alipokuwa mgurugenzi wa AICC neema ikamwangukia, akaanza kumiliki land Arusha, Mungu akamuangazia akapewa wizara ya Ardhi, enzi hizo viwanja vikitolewa bure tena prime areas!, akajenga zile nyumba akakodisha mabalozi faida akaitumia kama mtaji wa Alfa!. Mungu akamuangazia zaidi akapewa wizara ya Mifugo, Ranchi ya zaita zikauzwa kwa bei ya bure na yeye uwezo alikuwa nao hivyo akanunua!. Mungu akambariki zaidi na kumfanya akawa Waziri Mkuu wetu lakini katika maandalizi ya kumfanya awe rais wetu, Mungu akampitisha kwenye majaribu ya Richmond, ili iwe kama kawaida baada ya mateso na kifo, huja ufufuko na uzima wa milele, sasa hii ndio safari ya kukitwaa kile kiti alitayarishiwa na Mungu mwenyewe, au hukumsikia TB Joshua?!.
Kilichoanzisha Alfa ni mtaji kutokana na vitega uchumi vyake, hata hizo Nyumba London ni faida tuu kutoka vitega uchumi vyake!.
Kwa vile ni mtu wa Mungu na mwenye upako wa neema, hao marafiki zake wanaomchangia wamejikuta wanabarikiwa sana hivyo kuchanga zaidi na zaidi kama sadaka tuu makanisani, hawasubiri kuja kulipwa baadae ila kila ukitoa tuu unajikuta unazidishiwa mara sabaini fii sabaa!.
Hiyo the bottom you are very right, EL is not clean!, yae he is not, hata JK was not clean, but he was!, hata CCM is not clean, but it is!, hata YULE aliyekuja kuukomboa ulimwengu huu, aliisha sema hakuja kwa ajili ya wakamilifu!, alikuja kwa ajili ya hao hao ambao sio clean!. Na akasema "Wainuliwe wote wenye mizigo waje kwa YEYE wapumzishwe!", ndio maana hata lile zigo la Richmond, amelibeba tuu sio lake, na sasa anasubiri kuinuliwa ili apumzishwe kule juu!.
Kama JK amweza kuwa presidential material na ametutawala miaka hii kumi, EL ni 100 times better, ataiinua hii nchi kutoka huku kwenye vumbi na majajala na kutupeleka kwenye ile nchi ya ahadi, mabomba mchi nzima yatatoa maziwa na asali!.
Hata alipokuja YEYE, mwanzo alikataliwa hivi hivi mnavyotaka kumkataa huyu mtu!, hivyo sasa YEYE aliyemwandikisha atajidhihirisha utukufu wake kwenu, kwa "lile jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!",
Amesema "Huu ni mwamba na juu ya mwamba huu, nitalifa taifa langu!".
Just wait and see!.
Pasco
Inaonekana kama unajua kuandika lakini ni kama vile akili huna. Miwani unayovaa ikusaidie kuona vitu halisi na ubongo wako upe uwezo wa kutafsiri hali halisi. Uwezo aliowapa mungu wa kuandika msiutumie kuangamiza nchi yetu. Ni rais wa aina gani huyo ambaye baadhi ya sifa yake ni kugawa vitu vyake? Tunataka atakayewagawie wavuvi nyavu siyo huyu wenu anayechukua samaki wetu sote na kutuhadaa kwa kutugawia kwa mkono wa kushoto.Mkuu tumekusikia, na katika sifa hizo zote, kwa bahati nzuri yupo mtangaza nia mmoja tuu aliyezifika na kuzipitiliza, sio tuu kwa kukubali kukosolewa pekee, bali kukubali kuzibeba dhambi za wengine na kukaa nazo pembeni ili kuliepushia taifa na shari, huku ni kujitoa mwenyewe nafsi yako kwa ajili ya taifa lako!.
Kwenye hilo la uadilifu, mtu mwenye karama ya utajiri, anayetoa sehemu za utajiri wake na kuwagawia masikini, kuwagawia wengine, ni mtu mwenye baraka anayestahili kukabidhiwa nchi ili sasa awagawiye wote!.
Mtu wa aina hii ndiye rais wetu October 25!.
Pasco
Mtu wa aina hii ndiye rais wetu October 25!.
Pasco
Kwa vile uimara wa afya ya mtu, uzima au ugonjwa uko determined the the powers above us!, aliyeliandika jina lake na atakayemsimamia hadi kupitishwa CCM, ndiye atakayeiimarisha afya yake kwa sababu Lowassa ameisha tamka wazi, atayaweza yote katika YEYE!.Kwa ile afya yake,October 25 atakuwa anatembelea Machella
Chadema inadhamira ya kweli ya kukutoa wewe utumwani. Chadema iko determined kuigeuza nchi hii kuwa ya maziwa na asali. Na kwakuwa tumetubu kwa Mungu kwa kosa kubwa la kumweka Kikwete kama wana Israel walipomlazimisha Mungu awape Sauli kuwa mfalme, wana wa Israel walipata misukosuko wakapigwa mapigo hadi walipotubu na kumpata mfalme Daudi ndivyo na sisi watanzania tumetubu kwa Mungu kwa kukipa chama cha majizi, waongo,wauaji na makatili. Mungu ameridhia kutupa 'Daudi' wetu. UKAWA. Ndio maana tunasema UKAWA TUMAINI LETUKwa vile uimara wa afya ya mtu, uzima au ugonjwa uko determined the the powers above us!, aliyeliandika jina lake na atakayemsimamia hadi kupitishwa CCM, ndiye atakayeiimarisha afya yake kwa sababu Lowassa ameisha tamka wazi, atayaweza yote katika YEYE!.
Pasco
Uchaguzi 2015
Itikadi kuu ya kitaifa iwe ni kujenga upya Tanzania, kama Taifa huru yenye kuzingatia vipaumbele vifuatavyo: Utu, Uzalendo, Ufanisi, Uwajibikaji, Uadilifu Uimara na Umoja wa Kitaifa
Wenye Nia Urais, Ubunge, Udiwani wapimwe si kwa kauli zao tuu, bali kwa matendo yao kama wanaweza kujenga: Utu, Uzalendo, Ufanisi, Uadilifu, Uwajibikaji, Uimara na Umoja
Tusipime wagombea kwa utamu na ntiririko wa ufahamu wa kuongea au maneno tunayotaka kusikia, tusikubali kuwapa dhamana na majukumu makubwa kutonkana na umahiri wa kampeni zao, kujaa kwa umati wa wafuasi au vilio vyao vya kulilia dhamana ya kumkomboa Mtanzania.
Tukague Ufanisi wa utendaji wa wagombea katika miaka yao ya uwakilishi na kulitumikia Taifa na kuzioanisha na kauli walizozitoa miaka hiyo ya nyuma. Je tuwape dhamana na kwaamini wataweza sasa? Kama walishindwa kujenga mfumo fanisi wa maendeleo na uwajibikaji katika ngazi za wilaya, je kwenye duru za Kitaifa watatuaminishaje wana uwezo kufanikiwa?
Tuhoji uimara wao na utendaji wao mpaka sasa katika miaka mitano iliyopita, wamewafanyia nini cha maendeleo wananchi wachache waliowapa dhamana ya uwakilishi na uongozi? Je, kama katika wilaya na majimbo, wamepata matatizo ya ushawishi kustawisha jamii iliyo imara na yenye maendeleo endelevu na si ya maneno,tuaminije wanaweza kuongoza Taifa zima?
Tuhoji umadhubuti na uimara wa wagombea kusimamia haki, kujenga demokrasia ya kweli, kukubali upinzani, kukemea na kuwajibisha uhujumu. Je, matendo yao yameonyesha msimamo unaoeleweka kujenga jamii yenye demokrasia ya kweli yenye ushirikishi?
Tuhoji, je wamekuwa wawazi bila woga kupiga vita uhujumu ambao una sura mbali mbali kama uvivu, uzembe, matumizi mabaya ya dhamana na fedha, uhujumu, rushwa na uonevu?
Uimara wa Tanzania na maendeleo yake ya kijamii, kiuchumi na kisiasa si wingi wa rasilimali na ahadi za kuneemeka bila kuzingatia: Utu, Uzalendo, Ufanisi, Uadilifu, Uwajibikaji na Umoja katika kujenga Uimara wa Taifa na Utaifa!
Taifa letu, haliwezi kupiga hatua mbele kushinda vita dhidi ya Ujinga, Umasikini, Maradhi na Uhujumu bila kuzingatia malengo haya ya msingi.
Hatutaweza futa ujinga na maradhi tusipothamini Utu, Uzalendo, Uadilifu, Uwajibikaji, Ufanisi na Umoja.
Ni kujidanganya eti utajiri wa rasilimali na mapato ya uzalishaji yatutasaidia kutatua matatizo ya Taifa huku nguzo kuu na tunu za Utaifa wetu zinapuuziwa na kutokupewa kipaumbele kama dira iliyo kuu ya kujenga jamii shirikishi.
Vita kuushinda Uhujumu havina faida kwa Umoja hatuna Uzalendo, Utu, Ufanisi, Uwajibikaji na Uimara kupambana na ufisadi, rushwa, ujangili, utegemezi na utovu wa nidhamu!
Haitawezekana kufuta Umasikini pasipo kuwa na kipumbele cha Uzalendo, Utu, Ufanisi, Uwajibikaji, Uadilifu au Umoja pamoja na rasilimali zote tulizonazo na kujitangaza kwa majisifu.
Tuliposema ili tuendelee tunahitaji Watu, Ardhi Siasa Safi na Uongozi Bora, ni wakati huu ambapo tunahitaji kuchagua siasa safi na uongozi bora ulio wazi nawenye dhamira ya kulitumikia Taifa kwa dhati kuzingatia vigezo hivi vya : Utu, Uzalendo, Ufanisi, Uadilifu, Uimara, Uwajibikaji na Umoja.
Watanzania tuachane na mazoea ya kuamini maneno ya Wanasiasa ambao hawajengi Umoja au Ushirikishi kutokana na Amani tuliyonayo.
Tanzania na Watanzania ni lazima tujisahihishe mwaka huu wa uchaguzi kwa kutoa dhamana kwa watu wenye hekima, busara, ujasiri na uimara wa kutafakari, kufanya kazi na kufanya maamuzi yenye matokeo chanya: bora na endelevu. Tuwape dhamana watu ambao ni wepesi kujisahihisha na kufanyia kazi mapungufu yao.
Watanzania tukatae kupewa viongozi wasiojiheshimu, waongo, wazandiki, wanafiki na wenye tamaa na uchu wa madaraka na mamlaka. Hawatufai Ng'o!
Tanzania itajengwa na kuongozwa na viongozi waadilifu, wasikivu, wavumilivu, wachapa kazi wenye kukubali kukosolewa na kufanyia kazi kwa moyo maoni tofauti na mawazo yao.
Nami natangaza rasmi: Nia yangu ni kuleta na kupata Uongozi utakaoongoza kuzingatia: Uzalendo, Utu, Uadilifu, Ufanisi, Uwajibikaji, UImara na Umoja kwa Taifa letu na Watanzania wote kwa ujumla bila kujali tofauti zozote zile!
My Sister Tiba,, hapa sasa ndipo lazima uukubali ukweli mchungu, kuwa huyu ndie rais wako ajaye!. Ni kweli hao ngombea ndio utajiri wake pekee alioanza nao maisha ila kwa vile huyu ni mtu wa Mungu, hivyo ana upako fulani kama wa Midas, everything he touches turn to gold!. Alipokuwa mgurugenzi wa AICC neema ikamwangukia, akaanza kumiliki land Arusha, Mungu akamuangazia akapewa wizara ya Ardhi, enzi hizo viwanja vikitolewa bure tena prime areas!, akajenga zile nyumba akakodisha mabalozi faida akaitumia kama mtaji wa Alfa!. Mungu akamuangazia zaidi akapewa wizara ya Mifugo, Ranchi ya zaita zikauzwa kwa bei ya bure na yeye uwezo alikuwa nao hivyo akanunua!. Mungu akambariki zaidi na kumfanya akawa Waziri Mkuu wetu lakini katika maandalizi ya kumfanya awe rais wetu, Mungu akampitisha kwenye majaribu ya Richmond, ili iwe kama kawaida baada ya mateso na kifo, huja ufufuko na uzima wa milele, sasa hii ndio safari ya kukitwaa kile kiti alitayarishiwa na Mungu mwenyewe, au hukumsikia TB Joshua?!.
Kilichoanzisha Alfa ni mtaji kutokana na vitega uchumi vyake, hata hizo Nyumba London ni faida tuu kutoka vitega uchumi vyake!.
Kwa vile ni mtu wa Mungu na mwenye upako wa neema, hao marafiki zake wanaomchangia wamejikuta wanabarikiwa sana hivyo kuchanga zaidi na zaidi kama sadaka tuu makanisani, hawasubiri kuja kulipwa baadae ila kila ukitoa tuu unajikuta unazidishiwa mara sabaini fii sabaa!.
Hiyo the bottom you are very right, EL is not clean!, yae he is not, hata JK was not clean, but he was!, hata CCM is not clean, but it is!, hata YULE aliyekuja kuukomboa ulimwengu huu, aliisha sema hakuja kwa ajili ya wakamilifu!, alikuja kwa ajili ya hao hao ambao sio clean!. Na akasema "Wainuliwe wote wenye mizigo waje kwa YEYE wapumzishwe!", ndio maana hata lile zigo la Richmond, amelibeba tuu sio lake, na sasa anasubiri kuinuliwa ili apumzishwe kule juu!.
Kama JK amweza kuwa presidential material na ametutawala miaka hii kumi, EL ni 100 times better, ataiinua hii nchi kutoka huku kwenye vumbi na majajala na kutupeleka kwenye ile nchi ya ahadi, mabomba mchi nzima yatatoa maziwa na asali!.
Hata alipokuja YEYE, mwanzo alikataliwa hivi hivi mnavyotaka kumkataa huyu mtu!, hivyo sasa YEYE aliyemwandikisha atajidhihirisha utukufu wake kwenu, kwa "lile jiwe walilolikataa waashi, litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!",
Amesema "Huu ni mwamba na juu ya mwamba huu, nitalifa taifa langu!".
Just wait and see!.
Pasco
Mkuu Pasco, kwanza naomba nikukosoe kwa hiyo lugha unayo tumia as if wewe nawe sasa umekuwa book 7, kauli ya utake usitake huyo ndiye rais wangu ajaye. Kauli hii kwangu mimi is just sweeping statement ambayo haina ukweli hata chembe. Lowassa bado ana mtihani wa kupitishwa na chama chake lakini pia kama tunaamini kwenye demokrasia na tunatarajia kuwa na uchaguzi ambao utakuwa huru na wa haki, huyu mtu wako bado atashindana na mgombea wa vyama vya upinzani. Hapo napo anayonafasi ya kuchaguliwa au la sasa hii kauli ya lazima atakuwa rais wangu ajaye siitarajii kutoka kwa mtu kama wewe.
Kutoka huo mtiririko wa jinsi alivyopata utajiri wake, umeonyesha dhahiri EL ni mtu wa namna gani, anajijali yeye na watu waliomzunguka haijali dhamana ya kusimamia mali za watanzania aliyopewa. Hatufai huyu.
Pia umesema JK wakati anachaguliwa na yeye hakuwa msafi hivyo kwa kuwa JK alichaguliwa akiwa mchafu bado tuendelee kufanya kosa hilo hilo la kuwapeleka watu wasio wasafi Ikulu. Inawezekana JK hakuwa msafi kwani pesa ziliizomuingiza ikulu ziliibiwa kutoka benki kuu (EPA), na matokeo ya kuwa na rais aliyeingia madarakani kwa kuiba pesa za umma wote tumeyaona. Wezi wanakalishwa mezani na kuombwa warudishe pesa walizoiba wakati raia wengine kwa wizi wa kuku wanapigwa mvua na kuozea jela. Naogopa kusema mengi kwani bado ninazipenda kucha zangu, lakini Lowassa kwa msimamo wangu binafsi (kumbuka kura yangu ni moja tu) hatufai hata kiduchu.
Tiba
Lowasa ni mwana wa Adamu aliyeshushwa na Mungu kutukomboa Watanzania
Dada yangu Tiba, nakupa pole tena, kwa sababu tuna watu wa aina tatu, aina ya kwanza ni wishful thinkers, hawa wana wish Tanzania ipate rais mzuri, mwenye uwezo, mwenye mission na vision ya Tanzania tunayoitaka na asiye na mawaa yoyote kama anavyowish muanzisha mada hii Rev. Kishoka, ambaye ana wish tumpate rais mwenye sifa hizi!, hili linawezekana kwa sababu Tanzania tunao watu wenye sifa hizo, but only if wishes were horses !...keep wishing, ku wish ni kitu kimoja na reality ni kitu kingine!.Mkuu Pasco, kwanza naomba nikukosoe kwa hiyo lugha unayo tumia as if wewe nawe sasa umekuwa book 7, kauli ya utake usitake huyo ndiye rais wangu ajaye. Kauli hii kwangu mimi is just sweeping statement ambayo haina ukweli hata chembe. Lowassa bado ana mtihani wa kupitishwa na chama chake lakini pia kama tunaamini kwenye demokrasia na tunatarajia kuwa na uchaguzi ambao utakuwa huru na wa haki, huyu mtu wako bado atashindana na mgombea wa vyama vya upinzani. Hapo napo anayonafasi ya kuchaguliwa au la sasa hii kauli ya lazima atakuwa rais wangu ajaye siitarajii kutoka kwa mtu kama wewe.
Kutoka huo mtiririko wa jinsi alivyopata utajiri wake, umeonyesha dhahiri EL ni mtu wa namna gani, anajijali yeye na watu waliomzunguka haijali dhamana ya kusimamia mali za watanzania aliyopewa. Hatufai huyu.
Pia umesema JK wakati anachaguliwa na yeye hakuwa msafi hivyo kwa kuwa JK alichaguliwa akiwa mchafu bado tuendelee kufanya kosa hilo hilo la kuwapeleka watu wasio wasafi Ikulu. Inawezekana JK hakuwa msafi kwani pesa ziliizomuingiza ikulu ziliibiwa kutoka benki kuu (EPA), na matokeo ya kuwa na rais aliyeingia madarakani kwa kuiba pesa za umma wote tumeyaona. Wezi wanakalishwa mezani na kuombwa warudishe pesa walizoiba wakati raia wengine kwa wizi wa kuku wanapigwa mvua na kuozea jela. Naogopa kusema mengi kwani bado ninazipenda kucha zangu, lakini Lowassa kwa msimamo wangu binafsi (kumbuka kura yangu ni moja tu) hatufai hata kiduchu.
Tiba
Wakuu, nimefuatilia majibizano kati ya Pasco na wadau wengine. Kwa waliwahi kumsoma Achebe ktk A Man of the People na Ibsen ktk An Enemy of the People watamwelewa Pasco. He is trying to be both ironical and satirical. Anasema kinyume cha kile anachomaanisha kwa namna ya kejeli. Hivyo asilaaniwe kwani hamaanishi anachokisema.