johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Kibajaj jeNilitaka nikuunge mkono lakini wakati natype nikakumbuka kuna kina Mwita Waitara na Goodluck Milinga huko CCM.
Bwashee unamwamini Sugu?Binadamu anayekubali kugeuzwa geuzwa kama chapati na kufanywa bidhaa huyo ni juha. CCM inaongeza majuha kwenye chama chao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ukweli gani hapo?!