Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,594
- 5,568
Muacheni mkulu atulie, kwani hamjui kuwa jina lake lilikuwa la kwanza kwenye list ya wageni waliopo Afrika kusini!Hakika, kwa hili historia haitakaa iwafiche wanafiki.
Nani anamkumbuka aliyekuwa mkuu wa mkoa wa mbeya kabla jk hajawapangua wakuu wa mikoa kwa mara ya kwanza? kisasi cha jk kilifanya kazi.
jamaa huwa anaibisha sana ile idar ya ukombozi wa fikra nina bahati kubwa kutofundishwa naye!hivi huyu dr benson bana ana maslahi gani na ccm? Na kikwete? Maana naona kila mara anaacha kabisa kuainisha mambo kwa upeo wake wa ki-dokta na kutoa hoja zenye mashiko, amebaki kubusu-makalio (kissing @sses) tu!
JK hakumaanisha kua anafuata falsafa za Mandela, yeye n mzee wa Jino kwa Jino!!
Na waliomfanyia visasi zzk,, waje kwenye media waombe msamaa,,,,ili tuendelee kujenga chama bila visasi kama mandela alivyofanya anc
Hivi karibuni Rais Kikwete alisema kuna watu wanataka kuingia madarakani kwa kulipa kisasi, jambo ambalo ni hatari na kwamba aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela hakufikiria kufanya hivyo alipoingia madarakani baada ya kuachiwa kutoka gerezani.
Hivi huyu Dr Benson Bana ana maslahi gani na CCM? Na Kikwete? Maana naona kila mara anaacha kabisa kuainisha mambo kwa upeo wake wa ki-Dokta na kutoa hoja zenye mashiko, amebaki kubusu-makalio (kissing @sses) tu!
wewe na huyo beregu wako hamjui maana ya neno kisasi na neno kisa au mkasa.
kikwete ingawa alikoseshwa urais 1995 lakini hajamfanyia kisasi mkapa.
tuoni ufafanuzi wewe, beregu na wengineo ni kisasi kipi alicho kilipa kikwete baada ya kupata urais.
"kikwete ni raisi wa watu hata mnyika anajuwa"
wewe na huyo beregu wako hamjui maana ya neno kisasi na neno kisa au mkasa.
Kikwete ingawa alikoseshwa urais 1995 lakini hajamfanyia kisasi mkapa.
Tuoni ufafanuzi wewe, beregu na wengineo ni kisasi kipi alicho kilipa kikwete baada ya kupata urais.
"kikwete ni raisi wa watu hata mnyika anajuwa"