Kauli ya Dr Kigwangala Imenifurahisha Sana!

HK uko wapi unashambuliwa haujibu. unaweza ona title nzuri inakusifia ila contents zinakuponda, hahaha I LOVE JF
 
Hahahaha,

Kigs anasoma ishara za nyakati. Tunapompiga mawe JF inasaidia mara nyingine, maana pale mwanzo alikuja hapa na habari za kutaka kila mtu ajisajili na jina lake halisi ( which the people who are looking for intelligensia from the Igunga massive would really love).

Mie namnywesha dawa yake mwenyewe, Kigs tafuta intellijence kuhusu wawekezaji, usitafute kujua Kiranga jina lake halisi ni nani (intellijensia ya watu wa JF).

It's funny, reminds me what Busta Rhymes (OK, OK, you can't quote Shakespeare all the time) in "Abandon Ship"

"You Nig**rs talk shyt, then they abandon ship".

Kigs ali talk shyt ( endorsing censorship and dossier building) sasa ana "abandon ship" like a Norwegian rat in a sinking Titanic.

‪Busta Rhymes - Abandon Ship‬‏ - YouTube

hodi bandugu
 
Mikataba yote ya uchimbaji wa madini ingekuwa inalazimisha Watanzania wawe na hisa zisizopunguwa asilimia ya kuweza kufanya joint decision na mwekezaji.

Tena sio Serikali au mashirika ya serikali pekee ndio yawe na hisa, la hasha, Serikali / mashirika ya serikali yame na hisa kiasi cha wao kuweza kuwepo kwenye board ili waelewe kinachoendelea na si kuhadithiwa tu, lakini wafanya biashara binafsi wa kitanzania wawezeshwe kuwemo kwenye hisa za kila uwekezaji hapa Tanzania.
 
Kigwangala bado hajaiva anaonekana tu hata anavyoongea ni kama anatafuta upande wa kusimamia ila hajui achague wapi anataka kuwa kotekote,hk elewa mdundo uliopo unachezwaje si kurukaruka
 
Mikataba yote ya uchimbaji wa madini ingekuwa inalazimisha Watanzania wawe na hisa zisizopunguwa asilimia ya kuweza kufanya joint decision na mwekezaji.Tena sio Serikali au mashirika ya serikali pekee ndio yawe na hisa, la hasha, Serikali / mashirika ya serikali yame na hisa kiasi cha wao kuweza kuwepo kwenye board ili waelewe kinachoendelea na si kuhadithiwa tu, lakini wafanya biashara binafsi wa kitanzania wawezeshwe kuwemo kwenye hisa za kila uwekezaji hapa Tanzania.
Na wewe gamba dogo, FF, kumbe huwa unaongea vitu vya maana siku moja moja? Hongera sana!
 
Nipo Tu Ndg yangu, nawasoma sana. Kuna mengi sana wasiyoyafahamu, hivyo nawaelewa sana tu sema hawanikoseshi usingizi!
Hiyo sentensi nzito. Pia ni ambiguous. Ikitafsiriwa kwa hisia za wengi kwako yaweza thibitisha hofu zao kwako huko mjengoni. Personal gain.
Na pia yaweza kuwa kinyume chake when pondered in your favor.
Ukweli unajua mwenyewe.
Na sisi public tutajua soon, siku hizi siri hamna hata ya maliwatoni kwa mkulu wa inji.
 
Kigwangala bado hajaiva anaonekana tu hata anavyoongea ni kama anatafuta upande wa kusimamia ila hajui achague wapi anataka kuwa kotekote,hk elewa mdundo uliopo unachezwaje si kurukaruka
You speak my language
 
Nipo Tu Ndg yangu, nawasoma sana. Kuna mengi sana wasiyoyafahamu, hivyo nawaelewa sana tu sema hawanikoseshi usingizi!
usijali sana madongo ni sehemu ya siasa
ila hoja yako ya intelejensia nimeipenda
HK una nafasi ya kubadilika na ukawa lulu uamuzi ni wako.
ubunge si kupitia ccm tu, hata kwa vyama vingine inawezekana kwa hiyo usiwe mtumwa wa NDIO MZEE
 
Kigwangala bado hajaiva anaonekana tu hata anavyoongea ni kama anatafuta upande wa kusimamia ila hajui achague wapi anataka kuwa kotekote,hk elewa mdundo uliopo unachezwaje si kurukaruka
Mmmmm, siasa bwana, kaaazi kweli kweli! Ila magamba yamefunika sana integrity na hisia halisi za watu! Huyu Dr anaonekana akiondoka kwenye Chama cha Magamba atakuwa moto wa kuotea mbali! Tatizo la chama hicho utashangaa wanamwambia kuwa yeye si raia wa Tanzania!
 
Hiyo sentensi nzito. Pia ni ambiguous. Ikitafsiriwa kwa hisia za wengi kwako yaweza thibitisha hofu zao kwako huko mjengoni. Personal gain.Na pia yaweza kuwa kinyume chake when pondered in your favor.Ukweli unajua mwenyewe.Na sisi public tutajua soon, siku hizi siri hamna hata ya maliwatoni kwa mkulu wa inji.
Umeongea point tupu mkuu! Hiyo sentensi ifafanuliwe!
 
To me i just don't trust these guys at all, kwanini hawakuipinga bajeti ya Ngeleja kwa sauti moja instead wakaenda kukaa kikao kwanza
 
Nipo Tu Ndg yangu, nawasoma sana. Kuna mengi sana wasiyoyafahamu, hivyo nawaelewa sana tu sema hawanikoseshi usingizi!
What's this??? Kama yapi tusiyoyafahamu kwanini usiyaseme kama kweli unayajua badala yake unabaki kuongea kana kwamba you think you know so much more than any other person in here.
 
What's this??? Kama yapi tusiyoyafahamu kwanini usiyaseme kama kweli unayajua badala yake unabaki kuongea kana kwamba you think you know so much more than any other person in here.
kaanza siasa juzi anaongea hivyo... anyway hata kujikweza ni kichaa pia
 
Back
Top Bottom