Kauli ya Dr Kigwangala Imenifurahisha Sana!

Tatizo letu ni wabunge mafala.
Kamati ya bomani imependekeza tupate 6% badala ya 4%......bunge likapitisha 5%.
Sasa hapo ndipo wanapokoroifishana na sisi.Tunaka majority ownership...51% and above.

Right, walitafuta average ya 6 na 4 wakapata 5
 
"Ili kulinda heshima/hadhi ya Serikali!"
yeye si mtumishi wa serikali, yeye ni mwakilishi wa wananchi, sema hajui role yake anadhani tayari yupo serikalini... NDOTO YA KUANGALIWA NA MKUU INAMSUMBUA, BAHATI MBAYA AMESHACHELEWA, AMEJULIKANA
 
Nipo Tu Ndg yangu, nawasoma sana. Kuna mengi sana wasiyoyafahamu, hivyo nawaelewa sana tu sema hawanikoseshi usingizi!
We ni MNAFIKI...Saidi Bagaile!!alipongea Tundu adi povu lilitaka kukutoka afu leo unapnga ichoicho...so Oppurtunist!Na Rostam alikusikia..unajdai kumponda akiwa kauvua ubunge?afu umo ndani we hauaminiki..ata magamba wenzako wako 50/50 na wewe,jtahd kujpendekeza!
 
Nukuu ya Nyerere,
Unaweza kuwa na almasi mkononi halafu anakuja tapeli, anakwambia hebu tuone hii almasi yako. Ukisha mpa anasema hii si almasi, kisha anakupa kichupa anakwambia hii ndio almasi. Kisha wewe unaondoka na kichupa ukifurahi kama zuzu.
Haya maneno yanawahusu wana ccm ambao wako tayari kutetea hata uozo ili mradi waonekane wanatetea chama chao hata kama haiwapi faida, huu si ndio uzuzu wenyewe.
 
yeye si mtumishi wa serikali, yeye ni mwakilishi wa wananchi, sema hajui role yake anadhani tayari yupo serikalini... NDOTO YA KUANGALIWA NA MKUU INAMSUMBUA, BAHATI MBAYA AMESHACHELEWA, AMEJULIKANA
Samahani, nilimaanisha heshima/hadhi ya Chama cha Magamba!
 
"Watanzania tunatakiwa tutafute taarifa za kiintelijensia kuhusu makampuni tunayoingia nayo mikataba ya madini na si kutafuta tu taarifa za kiintelijensia dhidi wa wananchi wanaotaka kufanya mgomo kule Igunga, Arusha au wamachinga wanaotaka kufanya mgomo kule Mwanza ili tujue tunaingia mikataba na Makampuni ya aina gani!" Hii kauli aliitoa Bungeni jana wakati wa kujadili hotuba ya Waziri wa Nishati na Madini!Hii kauli nilivyoitafsiri mimi ni kwamba watanzania tunakomalia vitu visivyo na tija kwa taifa ili hali vile vyenye msingi hatuvikomalii! Pia alidai kwamba tukiambiwa majambazi yamevamia sehemu (kwa upande wa Jeshi la Polisi) tunadai kwamba Defender haina mafuta, lakini kwa habari ya kumpeleka Mbowe Arusha helikopta inapatikana na inatumia fedha nyingi! Magamba kumbe mara nyingine yana akili, yaani hata saa mbovu huwa inasema ukweli mara mbili kwa siku!


Mkuu Buchanan hiyo saa mbovu inayosema ukweli mara mbili kwa siku ni aina ya analogy tu(saa ya mshale).
Kama ni digital itasema ukweli mara moja tu kwani inaweza kuwa kwenye mfumo wa 24 hours au 12 hours ambao utasomeka a.m or p.m.
Hili la jeshi la polisi linasikitisha sana kwani kama umetoa taarifa ya uhalifu,wanaangalia na eneo lenyewe anaishi nani.
Kwa kifupi wanafanya kazi kwa utashi wa kisiasa zaidi.
 
Hahahaha,

Kigs anasoma ishara za nyakati. Tunapompiga mawe JF inasaidia mara nyingine, maana pale mwanzo alikuja hapa na habari za kutaka kila mtu ajisajili na jina lake halisi ( which the people who are looking for intelligensia from the Igunga massive would really love).

Mie namnywesha dawa yake mwenyewe, Kigs tafuta intellijence kuhusu wawekezaji, usitafute kujua Kiranga jina lake halisi ni nani (intellijensia ya watu wa JF).

It's funny, reminds me what Busta Rhymes (OK, OK, you can't quote Shakespeare all the time) in "Abandon Ship"

"You Nig**rs talk shyt, then they abandon ship".

Kigs ali talk shyt ( endorsing censorship and dossier building) sasa ana "abandon ship" like a Norwegian rat in a sinking Titanic.

‪Busta Rhymes - Abandon Ship‬‏ - YouTube

Kiranga kila kona upo, nimekukubali.
 
Back
Top Bottom