Young Tanzanian
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,736
- 293
dogo akopona atulie aache papara ascheze na mastermnder wa siasa ataumia...aige wenzake kna mbowe wanavyosoma upepo
Kaongea hivyo kwa kuwa anajua hakuna atakayemuwajibisha kwa yake kauli
Hapa nilikuwa nasikiliza radio TRIPLE A FM asubuhi Chagonja kaulizwa swali na mwandishi wa habari kuhusu kujeruliwa kwa mh. Nassari Chagonja akajibu hivi. Huyo Nassari alipigwa kwasababu yeye alienda kufanya nini huko na siyo kwao. Swali langu Lowassa kule ni kwao pia naye si ni mmeru iweje leo watu tunaongelea swala na makabila? Hawa viongozi watatumaliza Mungu tuepushe na hili linalo likumba taifa ila Tanzania ya leo siyo ile ya zamani tunaelewa tulipo toka na tulipo na tunapoenda
Viongozi wengi wa Tanzania hawanaa weredi na utashi public relation!
huenda ulimi uliteleza
Ingine nimeisikia Sunrise Redio leo asubuhi Kamanda Lebaratusi alipoulizwa je tunasikia mnawashikilia watu watatu kwa tukio la ulipuaji wa mabomu siku ya jumamosi yeye akajibu hana taarifa! na hapo hapo muandishi wa habari akampigia simu Chagonja kwa swali hilo hilo yeye akajibu ni kweli tunawashilikia watu wa tatu! Kwakweli sikupata picha!:shock: