JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Kwa sura hii huyu alipaswa kuwa mstaafu.........
Hapa nilikuwa nasikiliza radio TRIPLE A FM asubuhi Chagonja kaulizwa swali na mwandishi wa habari kuhusu kujeruliwa kwa mh. Nassari Chagonja akajibu hivi. Huyo Nassari alipigwa kwasababu yeye alienda kufanya nini huko na siyo kwao. Swali langu Lowassa kule ni kwao pia naye si ni mmeru iweje leo watu tunaongelea swala na makabila? Hawa viongozi watatumaliza Mungu tuepushe na hili linalo likumba taifa ila Tanzania ya leo siyo ile ya zamani tunaelewa tulipo toka na tulipo na tunapoenda
Hapana mkuu, bwana mdogo huyo. Tatizo ni kulakula na kunywakunywa bila mipangilio ukijumlisha na kuridhika kirahisi na mafanikio ya maisha ndivyo vinamponza. Kuna haja majeshi kuweka viwango vya "fitness" angalau tuwe na makamanda wasiotia shaka kuhusu mwonekano wao.