Kauli ya CCM wananchi wataamua...

Mungu jalia hii kasi ya CDM iendelee hivihivi na uelewa uongezeke zaidi ili tuwatie adabu hawa Magamba maana wanafikiri watz hawa wa kipindi kile na zaidi walimu tuanze waone hiyo shughuli yake,lazi;a ni create wapiga kura kibaoooo

Mwaka nimeamua kushiriki mikutano ya serikali mitaa bila kukosaa na nimegundua upuuzi mwingi unaofanywa na viongozi wa CCM,

Nimekuwa nafuatilia mambo mbalimbali ya utendaji ndani ya mtaa ninaoishi.

Mwaka nimeamua kushiriki mikutano ya serikali mitaa bila kukosaa na nimegundua upuuzi mwingi unaofanywa na viongozi wa CCM,

Nimekuwa nafuatilia mambo mbalimbali ya utendaji ndani ya mtaa ninaoishi.

Wasaidie mkuu uelewa watu wa maeneo hayo najua watabadilika tu until 2014

Tatizo CCM wanafikiri haki ya kuamua na kupanga niyao wenyewe utafikiri kuwa ni chama kilichoteremshwa kutoka mbinguni,wana matatizo sana hawa!

Ndo wale waliokuwa wanapiga vigelegele wakati mwenzao JOb Ndugai akitelemsha pumba zake kwenye ule mdahalo wa Star TV. CCM wamelewa madaraka, wabunge wake wote hawana utashi na nchi hii. moto tutawawashia mwaka 2015

Wale wamama waliokuwa wanamshangilia Ndugai ni mashangingi flani hivi wa Dodoma. Mbunge mmoja wa ccm mpanda alitwambia siku hiyo wale wamama wanagawa sana mkia wakiwemo na baadhi ya wabunge wanaume wa CCM.

tatizo hawa jamaa (magambas) wameamua kufumba macho wasione kinachoendelea maana tukiamua kwakifupi watakuwa hawapo nasasa wanafikiri kinyume chake... ajabu na kweli

Kwanza tuliamua kuwaweka wapambanaji mjengoni, na uamuzi tutakaoamua ni pipoooz pawaaa..hadi magamba wadondoke wote.!

Kweli tutaamua, kwa mambo ambayo wanafanya tutawaonyesha,kwanza kabisa wabunge wanaitetea serikali badala ya kuwatetea wananchi waliowapeleka bungeni.

Back
Top Bottom