Kauli tata za wanawake

Kauli tata za wanawake

Mkuu umeshengenezwa kitambo kwa hiyo unapewa taarifa ukae mkao wa kula.ukimwaga mboga yeye fasta anamwaga ugali na mpira kati ukiamua kuweka kwapani ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
salaam kwenu wadau

Hapa najaribu kumtafakari mwanamke na kauli zake zenye kuogofya,mwanamke mnaweza kuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu au ndani ya ndoa lakini siku umkikosana ana kauli yake moja kati ya nyingi ya kusema aaah kumbe ulikuwa haunijui,sasa unatatizika humjui vipi na ushaishi nae na kumvua nguo utakavyo

Au kuna kumjua kivingine wadau?
Labda kumjua kama ana malinda ama hana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanamke?



unaweza amniwa kwanza huyu mtoto si wako.
 
Ndio kauli zao mkuu.

Mke:Hunijui vizuri naona wewe
Mume:Unachokitafuta kipo juu juu.
Mke: kimya
Ugomvi ukaishia hapo hapo.
 
Pole sana...
Don't try to understand a woman...

Fanya lile lililopo ndani ya uwezo wako...

Wana hidden secret power which you will never understand...

They can take you from hero to zero... Or from zero to hero...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom