Kauli tata za Mama Salma Kikwete

Kauli tata za Mama Salma Kikwete

Akiwa Kwenye Mkutano wa Kumnadi Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Bw Magufuli Jana Mkoani Lindi. Mama Salma Kikwete Alitoa Kali Ya Mwaka.

Pale Alipo Sema Ukiona Majumba Yamejengwa Ujue Ni ccm. Ukiona Watu Wanamiliki Magari Ujue Ni ccm, Ukiona Watu Wanamiliki Simu Ujue ni Ccm. Ukiona Vitu vyote Ujue ni Ccm.

Nikajiuliza Swali. Kumbe Hawa Viongozi Wetu Wanalinganisha Maendeleo Yao Na Familia Zao Na Kudhani Wananchi Maskini wa Nchi Hii nao Wanalingana Nao?

Ndiyo Maana Wanaweka Kodi Mpaka Kwenye Vitu Vya Msingi Kabisa Vinavyo Mgusa Moja Kwa Moja Mtanzania Maskini?

Sasa Naanza kuelewa Lugha ya Mke Wa Rais Watunisia Aliye Ondolewa Madarakani Kwa Nguvu Ya Uma.

Pale Wananchi Wake Walipo Paza Sauti Ya Kuomba Msaada Kwa Serikali Yao Juu Ya Ugumu Wa Maisha Unaopelekea Kushindwa Kumudu Hata Kununa Mkate Wa Kunywia Chai.

Mama Akawajibu Kwa Dharau Kama Wameshindwa Kununua Mkate Wanunue Keki.

Akidhania Kwamba Yeye Ana Kula Mikate Ikulu Na Kusaza Basi Na Wananchi Wake Uishi Hivyo Hivyo.

Jamani Ni Vyema Viongozi Wetu Wakajua Shida walizo Nazo Watanzania Na Umaskini Ulio Kithiri Ndani Ya Jamii Yetu Ya Watanzania,

Viongozi Wetu Wa Chama Na Serikali Wasidhanie Maisha Na Utajiri Walio Nao Wao Na Jamaa Zao Ndiyo Hivyo Hivyo Na Watanzania Walivyo.

Wakumbuke Watanzania Walio Wengi Kwa Sasa Wanashindwa Hata Kupata Mlo 1 Wa Siku,

Wakumbuke Kwamba Watanzania Walio Wengi Wanashindwa Kujenga Nyumba Bora, Kutokana Na Serikali Kulundika Kodi Kubwa Kwenye Vifaa Vya Ujenzi.

Viongozi Wajue Watanzania Wengi Wanashindwa Kumiliki Usafiri Kutokana Na Lundo La Ushuru Uliowekwa Na Serikali Kupitia TRA.

Ifikie Maali Serikali Ijue Kwamba Kazi Ya Kuwarahisishia Wananchi Wake Na Kuwaletea Maisha Bora Inatokana Na Utashi wa Serikali Yenyewe Na Viongozi Wake.

Hivyo Basi Sisi Kama Wananchi Tunaitaji Matokeo Bora Na Serikali Yenye Kujali Utu Wa Watu inao Waongoza.

Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Tudumishe. Haki. Amani. Utu Wetu na Mshikamano.

Kiongozi!

Msamehe bure tu! Ndio shida ya MMEMKWA hiyo. Hamna kitu pale zaidi ya sindimba!!
 
Hivi Mama Mkapa alimpigia kampeni JK? Mama Sitti alimpigia kampeni Mkapa? Whither now?
 
Na ukiona watoto wanakalia matofali au wanakaa chini mashuleni ujue ni ccm, na ukiona hakuna madawa mahospitalini ujue ni ccm na ukiona nchi inazidi kuangamia na hakuna maendeleo ya maana ujue ni ccm na ukiona kuna mgao wa umeme ujue ni ccm :teeth:
Mambo mengine inatakiwa hekima kuyasema. yaani uyapime kwanza. Kuna watu wanashida nchi hii na ni wengi. ukiona mtu anaoga mara chahe si tu kwamba apenda bali maji hayapo ya kutosha.
juzi tulikuwa tunatokea maeneo Ya Sadani kutoke eneo la Ruve Mkwajuni.njiani tukawaona watoto wakalikimbilia gari letu huku wakipaaza sauti Majiii Majiii Majiii. kulikuwa na chupa ya uhai yenye maj tukasimama tukawapa. hakika waliikwapua na kuigombania we acha tu. Hapo ni Bagamoyo kati ya mito mikubwa miwili Ruvu na Wami MH! Si hayo tu hizo nyumba wanazoishi si hizo anazosema Mama Salma. Kuna shida bado katika nchi hii
Ahaaa haya huku NHC wanakazana kujenga nyumba za mamia ya milioni eti kwa watanzania. kuboresha maisha yao. je ni wepi wapi na wangapi? hawa wa kule Bagamoyo hata wakipata za milioni mbili mbili tu tayari watakuwa wameboreshewa maisha yao!
 
Eti ukiona pikipiki , bodaboda ujue ni kazi ya ccm. Huyu mama hayuko sawa.
 
Mimi naona kama hakukosea kusema hivyo. Lakini pia alitakiwa aseme;
Ukiona watu wana njaa basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanaua ndugu zetu albino basi ujue ni CCM
UKiona mgao wa umeme basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanakufa kwa kipindu pindu basi ujue ni CCM
Ukiona rushwa na ufisadi umezidi basi ujue ni CCM
Ukiona hospitali hakuna dawa basi ujue ni CCM
Ukiona watoto wetu wanasoma chini bila madawati ujue ni CCM
Ukiona hakuna maji basi ujue ni CCM. Ni kweli ukiona kila kitu basi ni CCM.

Ukiona mafuta ya taa yanauzwa bei karibu na diesel basi ujue ni ccm.........ukiuna watoto wa vigogo wanauza ngada basi ujie ni ccm......
 
Jameni msameheni bure uwezo wake ni mdogo. Ni mwalimu wa shule ya msingi anayejitahidi kuwa matawi ya juu
 
Huyo mwalimu wa darasa ala saba ana kazi
 
Mimi naona kama hakukosea kusema hivyo. Lakini pia alitakiwa aseme;
Ukiona watu wana njaa basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanaua ndugu zetu albino basi ujue ni CCM
UKiona mgao wa umeme basi ujue ni CCM
Ukiona watu wanakufa kwa kipindu pindu basi ujue ni CCM
Ukiona rushwa na ufisadi umezidi basi ujue ni CCM
Ukiona hospitali hakuna dawa basi ujue ni CCM
Ukiona watoto wetu wanasoma chini bila madawati ujue ni CCM
Ukiona hakuna maji basi ujue ni CCM. Ni kweli ukiona kila kitu basi ni CCM.

Salut!
 
Akiwa Kwenye Mkutano wa Kumnadi Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Bw Magufuli Jana Mkoani Lindi. Mama Salma Kikwete Alitoa Kali Ya Mwaka.

Pale Alipo Sema Ukiona Majumba Yamejengwa Ujue Ni ccm. Ukiona Watu Wanamiliki Magari Ujue Ni ccm, Ukiona Watu Wanamiliki Simu Ujue ni Ccm. Ukiona Vitu vyote Ujue ni CCM.

Nikajiuliza Swali. Kumbe Hawa Viongozi Wetu Wanalinganisha Maendeleo Yao Na Familia Zao Na Kudhani Wananchi Maskini wa Nchi Hii nao Wanalingana Nao?

Ndiyo Maana Wanaweka Kodi Mpaka Kwenye Vitu Vya Msingi Kabisa Vinavyo Mgusa Moja Kwa Moja Mtanzania Maskini?

Sasa Naanza kuelewa Lugha ya Mke Wa Rais Watunisia Aliye Ondolewa Madarakani Kwa Nguvu Ya Uma.

Pale Wananchi Wake Walipo Paza Sauti Ya Kuomba Msaada Kwa Serikali Yao Juu Ya Ugumu Wa Maisha Unaopelekea Kushindwa Kumudu Hata Kununa Mkate Wa Kunywia Chai.

Mama Akawajibu Kwa Dharau Kama Wameshindwa Kununua Mkate Wanunue Keki.

Akidhania Kwamba Yeye Ana Kula Mikate Ikulu Na Kusaza Basi Na Wananchi Wake Uishi Hivyo Hivyo.

Jamani Ni Vyema Viongozi Wetu Wakajua Shida walizo Nazo Watanzania Na Umaskini Ulio Kithiri Ndani Ya Jamii Yetu Ya Watanzania,

Viongozi Wetu Wa Chama Na Serikali Wasidhanie Maisha Na Utajiri Walio Nao Wao Na Jamaa Zao Ndiyo Hivyo Hivyo Na Watanzania Walivyo.

Wakumbuke Watanzania Walio Wengi Kwa Sasa Wanashindwa Hata Kupata Mlo 1 Wa Siku,

Wakumbuke Kwamba Watanzania Walio Wengi Wanashindwa Kujenga Nyumba Bora, Kutokana Na Serikali Kulundika Kodi Kubwa Kwenye Vifaa Vya Ujenzi.

Viongozi Wajue Watanzania Wengi Wanashindwa Kumiliki Usafiri Kutokana Na Lundo La Ushuru Uliowekwa Na Serikali Kupitia TRA.

Ifikie Maali Serikali Ijue Kwamba Kazi Ya Kuwarahisishia Wananchi Wake Na Kuwaletea Maisha Bora Inatokana Na Utashi wa Serikali Yenyewe Na Viongozi Wake.

Hivyo Basi Sisi Kama Wananchi Tunaitaji Matokeo Bora Na Serikali Yenye Kujali Utu Wa Watu inao Waongoza.

Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Tudumishe. Haki. Amani. Utu Wetu na Mshikamano.

Yule si alikuwa mwalimu wa upe.
 
attachment.php

Mkuu huyu kumbe ni mama Salma? kumbe ni zezeta hivyo kitandani?
 
ukiona walimu hawalipwi malimbikizo ya mishahara yao ujue ni ccm
ukiona walimu hawalipwi likizo ujue ni ccm
ukiona shule hazina vifaa vya kufundishia ujue ni ccm
ukiona wanachuo wanakosa mikopo ama kucheleweshewa ujue ni ccm
ukiona raia wanapigwa, wanateswa ama wanauawa mikononi mwa polisi ujue ni ccm
ukiona wakulima wanakosa pembejeo ujue ni ccm
 
Na hata ukiona ujinga wa ma salma kikwete pia ni ccm.
 
Hii familia ya Kikwete inataka kutupanda kichwani.
Tuichomoe CCM madarakani tunusuru future yetu iliyotekwa na familia moja inayojiona bora hapa tanzania.

Viva UKAWA.
 
Ukiona mafuta ya taa yanauzwa bei karibu na diesel basi ujue ni ccm.........ukiuna watoto wa vigogo wanauza ngada basi ujie ni ccm......
Da na hapa kwenye ngada noma wanataka kuimaliza nguvu kaz ya taifa pengine n mpango tu nao maana wtt wao hawatumii ili waendelee kututawala enhe siku izi si wanarithishana.
 
Back
Top Bottom