Kauli tata Mei Mosi 2019

Hakuna kitu kama hicho kwani kushinda kwake hakutegemei kura ya mfanyakazi/mkulima wala mfanyabiashara! Kwani ndio maana anakuwa na jeuri ingekuwa ni nchi ya rais anashinda kwa kutegemea wapiga kura, kuanzia mwaka huu ilikuwa ajishushe kweli, na ndio maana hata kwenye chaguzi za serikali za mitaa/vitongoji mwaka huu wanajeuri tu kwani wanajua lazima washinde tu. Upinzani imala ndio nafuu kwa wananchi sasa ajabu Tz, upinzani unapopitia kwenye misukosuko miananchi mingi ndio inashangilia!! Wakati ni kiama kwao!!! Kura za jiwe ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kutamka tu mshindi ni JIWE
 
Unamaanisha watanzania wote ni wakimbizi,Rais tu ndiye mtanzania? Looooo!!!! Jamaa nchi INA vichaa wasioweza kupona
 
Nilijua amewakamata wengi, kama ungekuwa ni mtihani karibia darasa zima lingepata supplementary.Sitaki kumlisha maneno lakini kwa namna nilivyomwelewa mimi, ni kwamba

MOJA: Hataki kutangaza kuwa amepandisha mishahara kwa sababu anaogopa wafanyabiashara watapandisha bei za vyakula

MBILI: Hajamaliza muda wake wa Urais, na mwakani ni mwaka wa uchaguzi. Hawezi akasubiria mwakani kupandisha misahahara kwa sababu mwakani ni mwaka wa uchaguzi na muda wake wa Urais kwa kipindi cha kwanza utakuwa karibia umeisha. Kwa hiyo kauli kwamba atapndisha mishahara kabla hajamaliza muda wake wa Urais, alikuwa anamanisha mwaka huu kwa mtizamo wangu mimi.

TATU: Akipandisha mishahara mwakani, wapinzani wake ambao wanaweza kuwa wamekosa kabisa cha kuongea sasa hivi, atakuwa amewapa loophole ya kuanza kuongea kuwa ameongeza sababu kuna uchaguzi mkuu, nafasi amabyo nina uhakika hawezi kuwaruhusu wakaipata.

NNE: July 31 haiko mbali, tusubiri ipite kwanza halafu ndiyo tuurudie tena huu mjadala wa maslahi yanayotokana na kupanda kwa midshahara!
 
Hakuna bajeti ya kupandishia watu mishahara kiholela kwa sasa... Kwasasa tunafocus kwenye kuwaletea maendeleo WANYONGE WA NCHI HII[emoji35][emoji83][emoji34][emoji83][emoji44]
 
Hivi hawa mabinti nao ni walimu au au ni dada poa wamekodishwa toka baa na madanguro mbalimbali?
 
Hivi hawa mabinti nao ni walimu au au ni dada poa wamekodishwa toka baa na madanguro mbalimbali?
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wewe ndio bure kabisa. Kwani kipindi chake cha uongozi kinaishia 2020? Mbona kwa ubabe alionao ana uhakika wa kuwa madarakani hadi 2025?
 
Mimi nakataa kwa sababu kwa siasa zilizopo uchaguzi siyo tishio tena kwa utawala huu. Ameshawaminya wapinzani kwa hiyo uchaguzi wala haumpi presha. " Nikuajiri mimi, Nikununulie gari, Nikulipe mshahara, Nikupe nyumba, halafu eti unamtangaza mpinzani kashinda! Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hapo labda siyo mimi. Maana yake umeshindwa kazi".
 
Weka kumbukumbu mei mosi ijayo uone
 
Weka kumbukumbu mei mosi ijayo uone
Nakuhakikishia kwa utawala huu na watanzania hawa uchaguzi siyo tishio tena! Niambie nini kinautisha utawala huu? Zamani walikuwa wanatekeleza mahitaji yetu kwa kuogopa kunyimwa kura. Leo hilo halipo. Kisha waambia wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi kwamba ole wake atakaye mtangaza mpinzani kashinda. Je, wewe unafikiri kuna mkurugenzi atamtangaza mpinzani kuwa ni mshindi? kwani hapendi kazi?
 
2024... Can't guarantee.... [emoji40][emoji40][emoji40][emoji125][emoji125][emoji125]
Kuna mahali nami nimeuliza 'kwani amesema anatoka lini tujiandae?
Wanasiasa ni wacheza tatu mzuka Full comedy
Amebeep asikie mtasema nini?
 
Mkuu kaeleweka vZur Sana!mpaka atakapokuwa anakarbia kutoka madarakan,ko ni mwaka 2024!

sijui kajuaje kuwa uchaguz ujao atashinda!!siasa za bongo bwana!!!!
Keshajua kuwa hahitaji kura zetu kubakia magogoni mnamo Nobember 2020. Anahitaji NECCCM, na Majeshi tu!
 
MEI MOSI 2019 Rais Magufuli: Sasa hivi kila mwezi tunatumia takribani bilioni 580 kulipa mishahara na huwa tunalipa kuanzia tarehe 19. Lakini pia tunatumia fedha nyingi kulipa madeni hivyo mnawezakuona kiasi gani kinabaki kwa miradi ya maendeleo # GPL

SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS LIMITED
 
Wewe ndio bure kabisa. Kwani kipindi chake cha uongozi kinaishia 2020? Mbona kwa ubabe alionao ana uhakika wa kuwa madarakani hadi 2025?

Basi kama wewe ulimwelewa kuwa alimaanisha hivyo, basi mimi nashauri apandishe mwaka 2025, mwishoni mwa kipindi chake cha pili, au wewe unasemaje?
 
Wewe ndio bure kabisa. Kwani kipindi chake cha uongozi kinaishia 2020? Mbona kwa ubabe alionao ana uhakika wa kuwa madarakani hadi 2025?

Basi kama wewe ulimwelewa kuwa alimaanisha hivyo, basi mimi nashauri apandishe mwaka 2025, mwishoni mwa kipindi chake cha pili, au wewe unasemaje?
 
Wewe ndio bure kabisa. Kwani kipindi chake cha uongozi kinaishia 2020? Mbona kwa ubabe alionao ana uhakika wa kuwa madarakani hadi 2025?

Basi kama wewe ulimwelewa kuwa alimaanisha hivyo, basi mimi nashauri apandishe mwaka 2025, mwishoni mwa kipindi chake cha pili, au wewe unasemaje?
 
Umemshtukia Mkuu wa nchi😂😂😂Halafu hao wadada hapo pichani kama ni Walimu Nijulishe nahitaji wa kumfundisha binti yangu "individual studies".
 
Umemshtukia Mkuu wa nchi[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu hao wadada hapo pichani kama ni Walimu Nijulishe nahitaji wa kumfundisha binti yangu "individual studies".
[emoji24][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…