Kauli tata kutoka kwa "Mwananzengo"

Kauli tata kutoka kwa "Mwananzengo"

Anamaanisha anachosema?

Amevunja sheria?

Kauli yake inaashiria nini?

Kama nimemwelewa, anasema waliomwua Magufuli ni Samia na Kikwete!

Amemaanisha nini hasa?
 

Attachments

  • IMG-20250516-WA0004.jpg
    IMG-20250516-WA0004.jpg
    105 KB · Views: 17
Anamaanisha anachosema?

Amevunja sheria?

Kauli yake inaashiria nini?

Kama nimemwelewa, anasema waliomwua Magufuli ni Samia na Kikwete!

Amemaanisha nini hasa?
Huyo kijana yupo hai kweli?
Maana hakutumia Code kwenye kutamka watuhumiwa na sirikali yet ni mumiani.
 
Ndiyo hao hao tu hakuna mwengine
Magufuli alikuwa hana upeo wa kuona na kuchambua mambo. Waliokuwa wanampenda na kumwambia ukweli aliwaona ni maadui, waliokuwa wanamsifia kinafiki na hawamtaki, ndiyo aliwaona wa maana. Kama aliuawa basi walitumia mwanya wa korona kwa sababu aliipuuza.
 
Back
Top Bottom