Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,770 Reaction score 1,173 Apr 26, 2025 #1 Kauli Mbiu ya Maadhimisho Miaka 61 ya Muungano "Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa: Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025". Attachments FB_IMG_1745661741662.jpg 48.8 KB · Views: 18
Kauli Mbiu ya Maadhimisho Miaka 61 ya Muungano "Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa: Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025".
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Apr 26, 2025 #2 No reforms no election. Hakuna mwenye akili timamu atakayeshiriki kwenye uchafuzi wa CCM.
I Izia maji JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 3,259 Reaction score 5,972 Apr 26, 2025 #3 Samia ni gaidi?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,694 Sep 6, 2025 #4 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw