Kauli hizi za huyu Padri wa huku Puerto Rico ibadani leo zimenigusa sana

Kweli kabisa tena somo la leo lilitoka Visasi 9:6-18 Nalo lilisema nanukuu
Kisha malaika mkuu akawaita makutano wote tazama asira yake iliwaka juu ya yule nabii aliyezileta zile habari za kuzuiwa kwa mwanapunda wake nchi za ugenini

Akasema ni heri kuvunja sheria ya bwana lakini nabii huyu apotee juu ya sura ya nchi kwani amekuwa mwiba kwangu na makada wangu natazama kila analosema linatokea amepata wafuasi wengi atanipindua

Ikawa hapo malaika mkuu alivyomaliza kunena maneno hayo ndipo hao watu wasiojulikana wakatwaa silaha zao tayari kuutoa uhai wa nabii yule

Nao bila kujua nabii yule alitoka kwa Bwana wakamtenda mabaya wakampeleka kwenye mabaraza ya hukumu wasiweze kumfunga ndipo wakaamua wamtoe roho yake hata ivyo Bwana alimuokoa na mauti

Habari za yule nabii kuwa hai zilimfadhaisha sana mfalme kwani zilienea hata nchi za mbali

Na tazama kila taifa na watu wote wanamchukia malaika mkuu kwa hayo
We jamaa unaweza kutunga bible kabisa!

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa kama Mkristo tena dhehebu la Kanisa Katoliki ambaye leo niliweza kuhudhuria Ibada yangu kama kawaida huku huku Kwetu nchini Puerto Rico nilipo kimakaza huyu Kasisi ( Padre ) aliyeendesha maombi ya leo amesema ' Kauli ' ambazo kiukweli zimenigusa na kunishtua sana nikiwa kama Mkristo na mcha Mungu na nikaona siyo vibaya kama ' nitashea ' nanyi Watanzania wenzangu mliopo huko Tanzania na kokote kule.

Kauli alizozisema leo ni kama zifuatazo na nitazinukuu / nitaziweka hapa hadharani

  1. ' Hakuna kitu kibaya kwa Mtu kujiita Mkristo halafu una roho mbaya '
  2. ' Mkristo wa kweli hana Visasi, Vinyongo na siyo Muongo '
  3. ' Mkristo wa kweli hupenda Kukosolewa ili aweze kujirekebisha na kumpendeza Mungu '
  4. ' Mkristo wa kweli huwa hanuni / hakasiriki hovyo hovyo '
  5. ' Mkristo wa kweli Mungu wake huanzia rohoni na siyo kuzurula hovyo Makanisani '
  6. ' Mkristo wa kweli huwa hapendi Kutukuzwa bali hupenda Kujishusha kwa Wenzake '
  7. ' Mkristo wa kweli huwa siyo Mnafiki, ni mtenda haki na siyo Mkabila '
Sasa cha ' kushangaza ' sana muda wote wakati huyu ' Kasisi ' anayasema hayo maneno yake tajwa hapo alikuwa akitolea mfano wa majina yetu hasa Sisi Waumini kadhaa tuliokuwepo viti vya mbele na kwa bahati mbaya sana Mwafrika nilikuwa ni Mimi peke yangu na wengine aliokuwa akiwataja walikuwa ni Wazungu wa huku.

Nayakumbuka tu majina machache aliyokuwa akiyataja wakati alipokuwa akisema hizo ' Kauli ' zake ambapo alinitaja Mimi kama Mimi GENTAMYCINE kisha alimtaja pia John baadae akamtaja Simon akaenda mbele tena akamtaja Paul mara kidogo tena akamtaja Lameck na mwishoni kabisa akamalizia kwa kumtaja na Modestus hali ambayo ilitufanya sisi wenye hayo majina kweli tujiulize Kulikoni tumetajwa katika hiyo mifano yake baadae tukagundua tu kuwa alitumia tu majina yetu hayo kufikisha ujumbe kwa Wakristo wenzetu pale Ibadani na kwingineko duniani.

Bora Mimi ' Mswahili / Ngozi Nyeusi ' GENTAMYCINE wala sikushtuka aliponitolea mfano ila hawa wenzangu Watano ( 5 ) na ambao ni Wazungu tupu ( weupe ) wa huku nchini Puerto Rico akina John, Simon, Paul, Lameck na Modestus walishtushwa sana japo baadae walikuja kugundua tu kuwa yule Kasisi ( Padre ) wala hakuwa na ' hisia ' mbaya na kwa pamoja tukaifurahia Ibada ya leo.

Ni hili tu Ndugu zanguni nilitaka ' Kushea ' nanyi leo. Nanyi huko nchini Tanzania mlipo muwe na Ibada njema / Maombi mema.

Akhsanteni.
Tabia zote hizo anzo yule bwana anayezunguka nyumba za ibada na kuomba aombewe
 
Kwa mara ya kwanza nasimama na nakupa shikamoo yako gentamycine,mara kadhaa nilipata shida kuelewa ulicho andika nilikua napata ukakasi unataka kusema nini na au kumaanisha nini,shikamoo mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha........Mkuu bhana! Ila kuna raha sana kutajwa Kanisani na nashangaa Wenzangu akina John, Simon, Paul, Lameck na Modestus wao wamekosa amani na furaha baada ya Kutajwa tu kama mfano.
Umeandika madini leo na yanathamani haswaa,shida ni hawa wazungu wanaelewa basi maana wanaonekana kuwa na shingo ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha daaah nimeipenda hii.
Wasalimie watoto wa Ki Puerto Rico.
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Aisee natafuta kiwanja huko Puerto Rico, Mkuu kama kuna mtu anataka kiwanja mwambie aje tubadilishane mimi nije Puerto Rico yeye aje kwa WATU WASIOJULIKANA, Huku kuna wazalendo wengi sana na atafurahi jinsi WAPENZI WA MUNGU wanavyotenda kwa haki bila ubaguzi na visasi.
 
Nikiwa kama Mkristo tena dhehebu la Kanisa Katoliki ambaye leo niliweza kuhudhuria Ibada yangu kama kawaida huku huku Kwetu nchini Puerto Rico nilipo kimakaza huyu Kasisi ( Padre ) aliyeendesha maombi ya leo amesema ' Kauli ' ambazo kiukweli zimenigusa na kunishtua sana nikiwa kama Mkristo na mcha Mungu na nikaona siyo vibaya kama ' nitashea ' nanyi Watanzania wenzangu mliopo huko Tanzania na kokote kule.

Kauli alizozisema leo ni kama zifuatazo na nitazinukuu / nitaziweka hapa hadharani

  1. ' Hakuna kitu kibaya kwa Mtu kujiita Mkristo halafu una roho mbaya '
  2. ' Mkristo wa kweli hana Visasi, Vinyongo na siyo Muongo '
  3. ' Mkristo wa kweli hupenda Kukosolewa ili aweze kujirekebisha na kumpendeza Mungu '
  4. ' Mkristo wa kweli huwa hanuni / hakasiriki hovyo hovyo '
  5. ' Mkristo wa kweli Mungu wake huanzia rohoni na siyo kuzurula hovyo Makanisani '
  6. ' Mkristo wa kweli huwa hapendi Kutukuzwa bali hupenda Kujishusha kwa Wenzake '
  7. ' Mkristo wa kweli huwa siyo Mnafiki, ni mtenda haki na siyo Mkabila '
Sasa cha ' kushangaza ' sana muda wote wakati huyu ' Kasisi ' anayasema hayo maneno yake tajwa hapo alikuwa akitolea mfano wa majina yetu hasa Sisi Waumini kadhaa tuliokuwepo viti vya mbele na kwa bahati mbaya sana Mwafrika nilikuwa ni Mimi peke yangu na wengine aliokuwa akiwataja walikuwa ni Wazungu wa huku.

Nayakumbuka tu majina machache aliyokuwa akiyataja wakati alipokuwa akisema hizo ' Kauli ' zake ambapo alinitaja Mimi kama Mimi GENTAMYCINE kisha alimtaja pia John baadae akamtaja Simon akaenda mbele tena akamtaja Paul mara kidogo tena akamtaja Lameck na mwishoni kabisa akamalizia kwa kumtaja na Modestus hali ambayo ilitufanya sisi wenye hayo majina kweli tujiulize Kulikoni tumetajwa katika hiyo mifano yake baadae tukagundua tu kuwa alitumia tu majina yetu hayo kufikisha ujumbe kwa Wakristo wenzetu pale Ibadani na kwingineko duniani.

Bora Mimi ' Mswahili / Ngozi Nyeusi ' GENTAMYCINE wala sikushtuka aliponitolea mfano ila hawa wenzangu Watano ( 5 ) na ambao ni Wazungu tupu ( weupe ) wa huku nchini Puerto Rico akina John, Simon, Paul, Lameck na Modestus walishtushwa sana japo baadae walikuja kugundua tu kuwa yule Kasisi ( Padre ) wala hakuwa na ' hisia ' mbaya na kwa pamoja tukaifurahia Ibada ya leo.

Ni hili tu Ndugu zanguni nilitaka ' Kushea ' nanyi leo. Nanyi huko nchini Tanzania mlipo muwe na Ibada njema / Maombi mema.

Akhsanteni.
Duh bonge la mahubiri, yaani huyo paroko naona wanafanana kimahubiri na paroko wetu hapa Kanisa Katoliki la Manzese Father Mapunda!
 
John Pangusa Makamasi
Paul Kondakta wa Mwendokasi
Modestus mwenye nywele za Kipili pili na Mba
Simon alipataga Ziro kwenye Hekima
Lamek alikuwa Mcheza show wa Madilu alipokuja Chemba kule Pemba!

Muhudumuuu,ongeza glass!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mbona umesahau kusema huyo pastor aliongea pia na kutoa mfano kua kunaweza kukawa na ngumi kali sana za watu wawili, wakati mpambano ukiendelea kumbe kuna ka nzi kanavizia ku take advantage ya huo mpambano na mara hako ka nzi kanakuingilia puani na unadondoka pwaaah. watazamaji wa ngumi wao wanajua ni mpinzani ndio kakupiga hio ngumi kumbe ni ka nzi ndio kamekudondosha na kukuulia mbali na sio ngumi ya huyo unaepambana nae.Rejea kifo cha mchungaji mtakula wa puerto rico pia.
 
Mimi mwenyewe huwa nacheka nikiona jina lake. Ana lile neno anapenda kulitumia "kutukuka" hahaha!

Yupo vizuri huyu Chief

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app

hahaha hilo hilo !yaan huyu jaman hapana ni shida
 
Roman Catholic sio Wakristo Catholic inajitegemea yenyewe na ina Sheria sake Tofauti kabisa na Christian acha kupotosha watu.. Bara la ulaya wengi wanaikacha Catholic na kuingia Christians
Hakuna kitu kama hicho. Hebu weka evidence.
 
Back
Top Bottom