Kauli hii ya Mobutu Sese Seko ni uhalisia wa yanatokea DR Congo?

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Je, ni kweli Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa mtu mbaya kama tulivyoaminishwa ?

Tuone kauli ya Mobutu ambayo aliongea
"APRES MOI C'EST LE DÉLUGE ". Après MOBUTU c'est de la mort, de la souffrance, de la misère, du désordre

Kwa kiswahili : BAADA YANGU NI MAFURIKO". Baada ya MOBUTU ni kifo, mateso, taabu, machafuko.

Je, Wakati wa Mobutu wakongo walikuwa wakimbizi?

Je, Congo kulikuwa na Vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Naomba kujua

FB_IMG_1649360601539.jpg
FB_IMG_1649362147866.jpg
 
Mwamba alipenda sana mbususu kuna moja ililazimika kuhama nchi kumkwepa kisa alikuwa anaforce apewe mbususu

#nakei Nairobi
Huyu naona kama walimtengenezea skedo ambazo si za kweli cheki kwanza hii eti watoto wake kusoma ufaransa na kurudi congo hivi kwa akili yako tu ya araka araka hiyo inaingia akilini mwako

Kutoka kongo mpaka ufaransa ni ma saa 12 yaani kwenda na kurudi na m ma saa 24 siku mzima apo vipi mda wao wa kuingia darasani mda wao wa kupumuzika yaani mambo ya ajabu
 
Walirudi Congo Ijumaa baada ya masomo na Concorde iliwapeleka J2.
 
hiyo kauli aliitoa kwa aliyekuwa mfalme wa Ufaransa ambaye alihukumiwa kifa,jina ni kama King Luis wa 16
Mobutu alikuwa sahihi,alijua kinachofuata kwa sababu mara kadhaa alisema anawajua wacongo.hata utawala wake ulikuwa successful sababu alitumia divide and rule yani ma general wake walikuwa wanachomana kwake kuja kusemana so it made things easier pia aliamini everything has a price so alinunua waliompinga
 
Je, ni kweli Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa mtu mbaya kama tulivyoaminishwa ?

Tuone kauli ya Mobutu ambayo aliongea
"APRES MOI C'EST LE DÉLUGE ". Après MOBUTU c'est de la mort, de la souffrance, de la misère, du désordre

Kwa kiswahili : BAADA YANGU NI MAFURIKO". Baada ya MOBUTU ni kifo, mateso, taabu, machafuko.

Je, Wakati wa Mobutu wakongo walikuwa wakimbizi?

Je, Congo kulikuwa na Vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Naomba kujua

View attachment 2180428View attachment 2180510
Alijua anachokipanda ndo maana alisema hivyo. Haikumaanishs alikuwa mtu sahihi, yeye kushiriki mauaji ya Patrice Lumumba alijua kabisa ameiharibu DRC, na haitakaa sawa tena kwa sababu ya uharibifu aliyouleta DRC.
 
Msiwe watu wa kutunga , zimepita tawala ngap ? Yeye aliona alipoipokea nchi tyr ilikuwa kweny mgogoro yeye ndo akaituliza na aliona kabisa maadui ni weng , DRC bila Dictator haitatawalika kbs
 
Back
Top Bottom