Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
Pwenti 100% unajua inakera sana kupotezeana muda???mi ninachojua wawili walikusudiwa wawe pamoja kwa maan ya kwamba waone kuwa yule aliye naye ndio mzuri kuliko watu wote duniani sasa hayo mengine sijui ya wapi?
Inawezekana ila kama uzuri ungechuja virus vya ukimwi hawa wangekuwa salama. Pia alikuwa wapi kumtafuta huyu kabla yako....Hii tabia inaniboa sana ktk maisha, kama humpendi mtu bora umpe za usoni na sio kuharibu hisia zake...Na hili ni kwa both Me & Ke