Kauli hii unaielewaje?

Kauli hii unaielewaje?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Una mpenzi wako wa cku nyingi; baada ya muda anaambiwa kuwa una mahusiano na mrembo mwingine - anakugombeza.
Baada ya muda wa kama miezi 6 hivi anagundua kuwa una mahusiano na mrembo mwingine tofauti na yule wa mwanzo.
Anakukalisha chini na kukwambia maneno haya... "..... sweetie, unanitia aibu, bora ya Janny, ni mrembo kweli anajipamba na anapendeza, sasa hili li-Mwajuma halina hata shepu, libaya hivyo; si unanidharirisha mimi?"

Weka comments zako kwenye kauli ya namna hiyo.
 
Mwanamke huyo lazima awe wale kama kina wema sepetu tu:biggrin:
 
Wewe ni cd la kiume si kama unamtia aibu tu utamuua, achukue atua !
 
lakin ukweli tusemage jamani mweeeh! kuna wanawake wengine ukimkuta mpenzi wako anatoka nao unaweza kupata stroke kwani hawana hadhi ya mpenzi wako kabisaaaaaaaa............ kwamba mvuto hawana, sura ,shepu, usafi nk, lakini kuna wadada wengine mashallah unamkuta mzuri kiasi kwamba mpenzi wako akianguka dhambini unajisema kweli ana haki kwa uzuri wa huyu dada mwache tu aanguke dhambini. ..................................hahahahhahh!
 
Shtuka ujue huyo hana muda na we tena na maneno yake hayo yanakupa chance ya kumfikiria huyo Mwa j.ila pole sana kama yamekukuta.mtu gani anyekupenda atakupointia mrembo au handsome mwingine?
 
Una mpenzi wako wa cku nyingi; baada ya muda anaambiwa kuwa una mahusiano na mrembo mwingine - anakugombeza.
Baada ya muda wa kama miezi 6 hivi anagundua kuwa una mahusiano na mrembo mwingine tofauti na yule wa mwanzo.
Anakukalisha chini na kukwambia maneno haya... "..... sweetie, unanitia aibu, bora ya Janny, ni mrembo kweli anajipamba na anapendeza, sasa hili li-Mwajuma halina hata shepu, libaya hivyo; si unanidharirisha mimi?"

Weka comments zako kwenye kauli ya namna hiyo.

Itakuwa kakuona wewe ni mzinzi na huna hata uwezo wa kuchagua kipi kizuri na kipi kibaya. Kwa kifupi anakuona wewe ni somba somba haujitambui na ndiyo maana anakushangaa!
 
Mchagua jembe si mkulima -- mchagua k si mt...aji
 
lakin ukweli tusemage jamani mweeeh! kuna wanawake wengine ukimkuta mpenzi wako anatoka nao unaweza kupata stroke kwani hawana hadhi ya mpenzi wako kabisaaaaaaaa............ kwamba mvuto hawana, sura ,shepu, usafi nk, lakini kuna wadada wengine mashallah unamkuta mzuri kiasi kwamba mpenzi wako akianguka dhambini unajisema kweli ana haki kwa uzuri wa huyu dada mwache tu aanguke dhambini. ..................................hahahahhahh!

Inawezekana ila kama uzuri ungechuja virus vya ukimwi hawa wangekuwa salama. Pia alikuwa wapi kumtafuta huyu kabla yako....Hii tabia inaniboa sana ktk maisha, kama humpendi mtu bora umpe za usoni na sio kuharibu hisia zake...Na hili ni kwa both Me & Ke
 
Shtuka ujue huyo hana muda na we tena na maneno yake hayo yanakupa chance ya kumfikiria huyo Mwa j.ila pole sana kama yamekukuta.mtu gani anyekupenda atakupointia mrembo au handsome mwingine?

Na hilo ni neno!
 
Ile tuition imaisha..
Hapa katika hali ya kibidamu inawezekana, kwa mfano mimi na Maureen, ila Maureen akisitia natembea na msichana alie mzidi kwa kila kitu mfano ( Angelina Jolie ), itamuuma katika hali ya kawaida, ila kuna kitu atajivunia kutoka kwangu, hata Maureen mwenyewe akajiona alinibahatisha kua na mimi yani anabahati, ila ikatokea nikatoka na msichana ambae ame mzidi kila kitu ni lazima imuume na jiulize mala mbili mbili, hasa akitazama jamii na hata jamii yenyewe inaweza kumuona Maureen si kitu hadi amepinduliwa na ndala ndefu, ila jamii ikijua nimemsaliti kwa Angelina Jolie aaah!

Nitakuja badae uki niruhusu.
Leo na jaribio la Hydraulics n' Pneumatics ngoja niwai shule.
I miss u my mkubwa wangu Blue G

Last edited by a moderator:
Wewe ni cd la kiume si kama unamtia aibu tu utamuua, achukue atua !

Hatua alochukua ni kutoa maelezo ya hivyo. Hatua gani nyingine achukue?
 
Una mpenzi wako wa cku nyingi; baada ya muda anaambiwa kuwa una mahusiano na mrembo mwingine - anakugombeza.
Baada ya muda wa kama miezi 6 hivi anagundua kuwa una mahusiano na mrembo mwingine tofauti na yule wa mwanzo.
Anakukalisha chini na kukwambia maneno haya... "..... sweetie, unanitia aibu, bora ya Janny, ni mrembo kweli anajipamba na anapendeza, sasa hili li-Mwajuma halina hata shepu, libaya hivyo; si unanidharirisha mimi?"

Weka comments zako kwenye kauli ya namna hiyo.

Yawezekana huyo mwanamke keshachoshwa na tabia za mwenzie ndomaana kamwambia hivyo labda itamuuma aache kupendapenda hovyo.
 
Alaaahhh that's my mdogo khaa so kumwaga mapwenti huko looooohhh!Ila mbona haujanitambulisha huyo maureen?hivi ndio yule binti wa kwa naniliyu au???????haya wahi kwa mtihani na nakutakia mtihani mwema sawa eeehhh?
Ile tuition imaisha..
Hapa katika hali ya kibidamu inawezekana, kwa mfano mimi na Maureen, ila Maureen akisitia natembea na msichana alie mzidi kwa kila kitu mfano ( Angelina Jolie ), itamuuma katika hali ya kawaida, ila kuna kitu atajivunia kutoka kwangu, hata Maureen mwenyewe akajiona alinibahatisha kua na mimi yani anabahati, ila ikatokea nikatoka na msichana ambae ame mzidi kila kitu ni lazima imuume na jiulize mala mbili mbili, hasa akitazama jamii na hata jamii yenyewe inaweza kumuona Maureen si kitu hadi amepinduliwa na ndala ndefu, ila jamii ikijua nimemsaliti kwa Angelina Jolie aaah!

Nitakuja badae uki niruhusu.
Leo na jaribio la Hydraulics n' Pneumatics ngoja niwai shule.
I miss u my mkubwa wangu Blue G
 
Hatua alochukua ni kutoa maelezo ya hivyo. Hatua gani nyingine achukue?

Hamfai aanze mbele, akatafute mwanaume anayemuheshimu na mwaminifu, maana huyo aliye naye ni fire!
 
Back
Top Bottom