Fabijr
Member
- Sep 16, 2015
- 24
- 20
Wakati nikiwa katika shule ya msingi baadhi ya kauli za walimu darasani zilizokua zinaniudhi na kunikatisha tamaa ni zifuatazo:-
1. mkimaliza kuongea nambieni niendelee kufundisha.
2. baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule
3.vichwa vikubwa akili nukta.
Tupia kauli za walimu zikizokua zikikuudhi katika shule ya msingi na sekondari....