Kauli 17 za mtu asiye na malengo wala uthubutu

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
*Kauli 17 za mtu asiye na malengo wala uthubutu*
1)Sina mtaji
2)Sina Connection
3)Nitaanza rasmi kesho
4)Mimi ni wa hivihivi tu
5)Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo
7)Kupata ni majaliwa
8)Usilazimishe mambo
9)Kuna watu special siyo mimi.
10)Sina bahati
11) kupata si uhodari nami nitapata tu.
12) Mimi ni fungu la kukosa tu.
13) muda wangu bado nitapata tu
14) mungu hajapanga hata vidole mkononi havilingani.
15) wapo waliopangiwa sisi wasindikizaji
16) Familia yetu hakuna tajiri nianze mimi?
17) hata wanaotafuta mbona wapo vilevile...fulani namjua mbona yupo tu kama mimi au namzidi.

*KAA MBALI NA HUYO MTU. NI HATARI KWA NDOTO ZAKO!!!!*
 
Hata kama nikijitahidi kama Mungu hajapanga sitafanikiwa, ikifika siku niliyopangiwa na Mungu nitapata tu
 
Back
Top Bottom