Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,581
Nafikiri bado hujamweelewa huyu Dada.Huyu dada nae chizi tu. Labda hii ni kwa ajili ya kuchekesha manake ndio kazi yake. Hivi password ya simu inahusiana nini na urahisi au ugumu wa kufunua miguu ya mwanamke?
Hii ni simu na huyu ni binadam. Huku ana protect data zake. Kule ni mahusiano au enjoyment au biashara. Sasa hii wapi na wapi mpaka mtu unaleta JF kujadili. Hiki ni kichekesho tu kama vile vya Mugabe basi huwezi vileta kwenye watu wenye akili nene.
May be you are correct. Explain!Nafikiri bado hujamweelewa huyu Dada.
Do not panic mkuu ilikuwa ni emagination tuHuyu dada nae chizi tu. Labda hii ni kwa ajili ya kuchekesha manake ndio kazi yake. Hivi password ya simu inahusiana nini na urahisi au ugumu wa kufunua miguu ya mwanamke?
Hii ni simu na huyu ni binadam. Huku ana protect data zake. Kule ni mahusiano au enjoyment au biashara. Sasa hii wapi na wapi mpaka mtu unaleta JF kujadili. Hiki ni kichekesho tu kama vile vya Mugabe basi huwezi vileta kwenye watu wenye akili nene.
What the f@cking data??Huyu dada nae chizi tu. Labda hii ni kwa ajili ya kuchekesha manake ndio kazi yake. Hivi password ya simu inahusiana nini na urahisi au ugumu wa kufunua miguu ya mwanamke?
Hii ni simu na huyu ni binadam. Huku ana protect data zake. Kule ni mahusiano au enjoyment au biashara. Sasa hii wapi na wapi mpaka mtu unaleta JF kujadili. Hiki ni kichekesho tu kama vile vya Mugabe basi huwezi vileta kwenye watu wenye akili nene.
Stupid! If you have nothing personal to hide or protect from unauthorised people, some have! What if you lost or your mobile is stolen! There's nothing like National secrets, if it's national mean a lot of people knows about it!What the f@cking data??
National secrets,heaven secrets, or passing day
All must got equal values.Stupid! If you have nothing personal to hide or protect from unauthorised people, some have! What if you lost or your mobile is stolen! There's nothing like National secrets, if it's national mean a lot of people knows about it!
Hebu fikiria mwanamke anakupa papuchi kila ukihitaji (mkeo,gf etc) lakini hawezi kukuachia simu yake hata dakika mbili! Ina password ambayo hata ukikuachia mwaka mzima hutaifungua ila kumtongoza ulitumia nusu saa tu (inawezekana wa kwako akawa tofauti)Huyu dada nae chizi tu. Labda hii ni kwa ajili ya kuchekesha manake ndio kazi yake. Hivi password ya simu inahusiana nini na urahisi au ugumu wa kufunua miguu ya mwanamke?