Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

Alibino

Senior Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
150
Reaction score
334
Nilichokielewa kutoka kwenye katuni ya Masoud Kipanya.

Hili eneo ni makaburini na hapo unaonekana mzimu ukiwa umeandikwa TLS, kwahiyo ni maeneo waliyozikwa watu wa TLS (Tawala zilizopita).

Mzimu wa TLS (Mwabukusi) ndio umefufuka juu unaona mwezi ukiwa umeng'aa ikimaanisha ni Usiku ila unaona kwa msaada wa mwezi.

Hapo anamaanisha matukio ni mengi, tupo kwenye GIZA nene ila mwezi unasaidia kuonyesha hayo maovu.

Mzimu umeshika kiuno, hapo anamaanisha mambo ya kunyooka nayo ni mengi mpaka anashangaa kwa kushika kiuno.

Mungu akusimamie Mwabukusi kwenye hii safari ngumu iliyopo mbele yako, tulikuamini na tunaendelea kukuamini utaweza.

Kwasasa watetezi wa HAKI hatupo salama, tunakuhitaji sana kipindi hiki kuliko wakati wowote.

20240808_081545.jpg
 
Anawaza asonge mbele au aaanze na kufukua makaburi

Kufukua makuburi itakuwa endless process Ila itamfanya kuacha legacy
 
Back
Top Bottom