Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,903 Jun 15, 2023 #21 kisepi said: Yani pm yupo yupo tu Click to expand... Huyu bwana sijui huwa hata anafanya kazi gani
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 15,381 Reaction score 41,777 Jun 15, 2023 #22 Bejamini Netanyahu said: Huyu bwana sijui huwa hata anafanya kazi gani Click to expand... Mi huwa nashanga sana wanaomuona huyo jamaa ni mtu wa kupigiwa mfano!!! Amewahi kuachive nini hasa cha maana, zile tume zake anazounda ipi imeleta majibu yenye tija yeyote? Tangu na tangu….
Bejamini Netanyahu said: Huyu bwana sijui huwa hata anafanya kazi gani Click to expand... Mi huwa nashanga sana wanaomuona huyo jamaa ni mtu wa kupigiwa mfano!!! Amewahi kuachive nini hasa cha maana, zile tume zake anazounda ipi imeleta majibu yenye tija yeyote? Tangu na tangu….
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,903 Jun 15, 2023 #23 binti kiziwi said: Mi huwa nashanga sana wanaomuona huyo jamaa ni mtu wa kupigiwa mfano!!! Amewahi kuachive nini hasa cha maana, zile tume zake anazounda ipi imeleta majibu yenye tija yeyote? Tangu na tangu…. Click to expand... Sijui system walimtoa wapi?
binti kiziwi said: Mi huwa nashanga sana wanaomuona huyo jamaa ni mtu wa kupigiwa mfano!!! Amewahi kuachive nini hasa cha maana, zile tume zake anazounda ipi imeleta majibu yenye tija yeyote? Tangu na tangu…. Click to expand... Sijui system walimtoa wapi?
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 11,630 Reaction score 25,649 Jun 17, 2023 #24 NAISIKITIKIA SANA TANZANIA. KWANINI VIONGOZI WABAYA KIASI HIKI!!!! SISI WALIPAKODI TUMEWAKOSEA NINI???????
NAISIKITIKIA SANA TANZANIA. KWANINI VIONGOZI WABAYA KIASI HIKI!!!! SISI WALIPAKODI TUMEWAKOSEA NINI???????
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 8,433 Reaction score 17,047 Jun 19, 2023 #25 Naona pia alipigwa stop kuzunguka kila halmashauri na kuwatumbua kwenye matumizi ya fedha Walimwambia aache siasa za bosi wake wa zamani
Naona pia alipigwa stop kuzunguka kila halmashauri na kuwatumbua kwenye matumizi ya fedha Walimwambia aache siasa za bosi wake wa zamani