Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
Amesahau kutaja fyoko fyoko za Zanzibar. Kazi kweli kweli.'Unakwenda huku wanafunzi hewa, unakwenda huku wafanyakazi hewa, unakwenda huku barabara hewa, yaani kila kitu hewa haiwezekani, kwahiyo mzee wangu Kikwete umenipa kazi ngumu hii" Dr. Magufuli.
Kumbe jamaa alijenga barabara hewa!!? Ndo maana mkandarasi anamaliza tu kujenga na ukarabati unaanzia hapohapo.'Unakwenda huku wanafunzi hewa, unakwenda huku wafanyakazi hewa, unakwenda huku barabara hewa, yaani kila kitu hewa haiwezekani, kwa hiyo Mzee wangu Kikwete umenipa kazi ngumu hii" Dr. Magufuli.
Naye jibu mwenyewe kasema amejenga barabara hewa " mi nitamtumnuwa kwa maana mganga hajigangi"Kumbe jamaa alijenga barabara hewa!!? Ndo maana mkandarasi anamaliza tu kujenga na ukarabati unaanzia hapohapo.