Katuni ya Kipanya na MCC

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,912
13,230
a2c0cedfeaef907e9d8b3af133cd7cf9.jpg
 
sijaipenda. Kwa hiyo Tz ni sehemu ya kupumzikia tu, jamvi la wageni
Kwani ulikuwa hujui?? Bwana wa Kimarekani kakata Huduma, juzi tume date mwanaume wa Kuwait, Jana Mchina, Leo bwana wa Kispanyola. Bado bwana wa kitaliano Na Kifaransa.

Tatizo watoto mna demand nyingi kwa hiyo mama yenu hana budi kutegemea hao wahisani.
 
Back
Top Bottom