Katuni ya Kipanya leo

Katuni ya Kipanya leo

Anafikiri yuko kwenye Kioo kumbe Kioo kimevunjika amebaki na fremu, ha ha ha
 
Utakuja shangaa makonda akiwa raisi kipaya anepewa uku wa mkoa,..haha siasa tamu sana,
 
Lolote walete jana kawaaacha chaliiiiiiiiiiiiiiiii

Na leo tena kaongelea maendeleo ya mji wake Dar.

Akaambiwa huko nje watu wamejua yupo TBC na wanazidi kujazana getini kumsubiri.

Hivi magazetini katoka au, maana wale kweli wameachia kukosa pesa za mauzo ya magazeti au?


Ha ha ha haaaaaaa


Makonda oyeeeeeee
dar kuna maendeleo gani barabara mbovu kula kona, maji kila mahali miundombinu mibovu nk
 
dar kuna maendeleo gani barabara mbovu kula kona, maji kila mahali miundombinu mibovu nk

Umeandika kama vile kasababisha yeye, ananyoosha na atazidi kuwanyoosha.

Hapa kazi tu, hii ni awamu ya 5 ya JPM.

Magufuli oyeeeeeee

Makonda oyeeeeee
 
Back
Top Bottom