mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,182
Wana JF,
Mtunga katuni matata ameacha ujumbe nzito kama mnavyoona katika picha
Mtunga katuni matata ameacha ujumbe nzito kama mnavyoona katika picha
Kiba iyo shoka ya nn?
KIBA BADO SANA KWA DIAMOND NIMEANGALIA WIMBO WA NDOMO WA NANA (VIEWERS ZAID YA 2m wakati wa Ali Kiba Cheketua viewers 2k)
KIBA BADO SANA KWA DIAMOND NIMEANGALIA WIMBO WA NDOMO WA NANA (VIEWERS ZAID YA 2m wakati wa Ali Kiba Cheketua viewers 2k)
wewe jamaa ni muongo sana sijui umeangalia youtube gani hiyo,anyway yaweza kuwa umeangalia ile idadi ya nje ambayo huwa inachelewa kuwa updated as viewers increase...inatakiwa uiclick video uangalie kwa idadi ya ndani na inaonyesha hujaicheck cheketua wewe hadi kufika Jana ilikua na viewers laki 3 na 50 elfu na leo ina viewers laki 3 na 62 elfu uku ikiwa na 1-week tokea iachiwe,na kwa upande wa mondi ana viewers mil 2 na 32 elfu uku ikiwa na 1-month tokea iachiwe,ni hayo tu mkuu!!!
so ndo kaz yako iyo kila siku kuchek vdeo ya kba kutwa mara100 uongeze viewers....hujisomiii
team kiba wengi wana element za kike na wivu wa kijinga.Daah!..mkuu jiheshimu pleaz!..hakukuwa na ulazima wa kuniquote,kama mimi sijisomi wewe hujitambui pia maana unamjibu vipi mtu asiyejisoma wakati ushajua sijisomi? na nimeongea ukweli jamaa amekosea iyo idadi aliyotuwekea kwa hiyo siku aliyocomment hapo...je nisimkosoe wakati kadanganya??,na unaposema sina kazi ila kuiangalia video ya kiba Mara 100 kwa siku umekosea sanaa...embu verify hiyo statement yako hapo fasta then ueleweke pleaz???...pia ata kama ni kweli wewe imekuuma nini mpaka useme eti sijisomi wakati ata bando uninunulii wewe na device pia ni yangu sio yako...sasa sijui dharau za nini hapo????...kwani Mimi nimedharau comment ya jamaa?????...si nimemwambia ukweli ni muongo kutokana na data alizoleta kutofautiana na za kule youtube kwa ile siku aliyocomment,najua imekuuma iyo variation ya viewers kwa video ya kiba inapoongezeka...sasa kizuri kisiangaliwe ndugu??????...kiba kafanya idea unique sana ile...kubali ukatae,nenda ata insta kwenye account ya H.BABA uone anavyompongeza kiba kwa ile idea na anasema hachoki kuiangalia ile video hata Mara 100 per day na huyo ndo unayemsema wewe maana mie ni Mara 3000 kwa siku...kama imekupain sana kitulize bhana maana hakuna namna hapo ndo imeshakuwa hivyo!!!
team kiba wengi wana element za kike na wivu wa kijinga.
team kiba wengi wana element za kike na wivu wa kijinga.
Da unapenda matusi kama UVCCM
unajifariji tu mkuu mio sio shabiki wa mond wala kiba ila ujue tu kiba hawezi mfikia mond kwa viewers pale YouTubewewe jamaa ni muongo sana sijui umeangalia youtube gani hiyo,anyway yaweza kuwa umeangalia ile idadi ya nje ambayo huwa inachelewa kuwa updated as viewers increase...inatakiwa uiclick video uangalie kwa idadi ya ndani na inaonyesha hujaicheck cheketua wewe hadi kufika Jana ilikua na viewers laki 3 na 50 elfu na leo ina viewers laki 3 na 62 elfu uku ikiwa na 1-week tokea iachiwe,na kwa upande wa mondi ana viewers mil 2 na 32 elfu uku ikiwa na 1-month tokea iachiwe,ni hayo tu mkuu!!!
wewe jamaa ni muongo sana sijui umeangalia youtube gani hiyo,anyway yaweza kuwa umeangalia ile idadi ya nje ambayo huwa inachelewa kuwa updated as viewers increase...inatakiwa uiclick video uangalie kwa idadi ya ndani na inaonyesha hujaicheck cheketua wewe hadi kufika Jana ilikua na viewers laki 3 na 50 elfu na leo ina viewers laki 3 na 62 elfu uku ikiwa na 1-week tokea iachiwe,na kwa upande wa mondi ana viewers mil 2 na 32 elfu uku ikiwa na 1-month tokea iachiwe,ni hayo tu mkuu!!!
team kiba wengi wana element za kike na wivu wa kijinga.
karibu jf cheketua kiba kaimba mwenyewe diamond kamshirikisha mr flavour huoni kuwa mashabiki wa mr flavour wataongeza viewer ila lets see what will happen???