Katuni: Sisiem Haing'oki, Labda Mlete NATO

Katuni: Sisiem Haing'oki, Labda Mlete NATO

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
dala%2B1.jpg
 
HII KATUNI IKO VERY INTERESTING, NI KWELI MAWAZO AYA ALIKUWA NAYO PAPAA GHADAFI, SAADAM HUSENI NA ATA KIONGOZ WA SYRIA BW ASSAD, ENDELEA TU KUJIPA MOYO HUO CCM, PIA ENDELEA KUWAPATIA BUKU10 KILA UNAYEMLETA KWA MAFUSO KT MIKUTANO YAKO ILI KUIJAZA WATU WAKATI WATU HUJILETA MWENYEWE, KALAGHABAo
 
Mkuu MziziMkavu,

Kwani hujui Mrusi, Mchina na USA lao moja?

Mmoja anajenga (Russia mara nyingi) na mwisho anakuja USA kubomoa.

Ni kama kwenye Film za upepelezi utaona POLISI Mzuri na POLISI Mbaya. Wakitoka hapo wanacheka na kugongeana mikono.

Ni wao waliwapa Waarabu Silaha kwenda Libia na mwisho kubadili muelekeo na kushambulia Mali. Sasa wanajifanya wema kwa kuisaidia Mali ila mwisho wa vita, Mali atawekewa Cheque mezani ya hizo Mirage za Mfaransa. Chezea Mudhungu wewe....
Mkuu Sikonge Tutamuomba M-Rusi na M-China watulinde na hiyo Nato yenu........................
 
CCM itang'olewa na Wadanganyika wenyewe na kila mtu aseme Aminaaaa!!!
 
unafikiri kwa kutumia ile kitu aliyosema didas masaburi au. mbona husomeki .tanzania kwanza mtwara baadae. achana na mawazo ya sera za ukanda na ukabila.kama unaweza washawishi watu wa mtwara wajitangazie uhuru wao kama alivyofanya joshua nassari alipotangaza kujitenga kwa sehemu ya kaskazin mwa tanzania.achana sera za kibaguzi
 
Back
Top Bottom