KATUNI: Masoud Kipanya na Maandamano ya UVCCM

KATUNI: Masoud Kipanya na Maandamano ya UVCCM

Status
Not open for further replies.
UCCM siyo watu wa kuunda ummoja au movement zisizo na tija hayo mambo wanafanya watu wa makundi ya chini na yenye mahitaji muhimu
 
Tehehhee, nawaza tu, sijui kama polisi wanafahamu hali, nasubiri kusikia katazo tu na jinsi watakavyotamka ufupi wa umoja huo.
Yani maanisha hivi, mfano siku ile kamanda Sirro anatamka kuvunja UKUTA, basi na siku ya katazo hilo atamke kifupi cha jina hilo huku akionesha msisitizo..
 
Kipanya is very talented
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahah!! Shikamooo KP..

Sipati picha nao wakianza kulalamika waachwe wasizuiwe kufanya UKU**
[emoji85] [emoji85] [emoji23]
 
Hahahahah!! Shikamooo KP..

Sipati picha nao wakianza kulalamika waachwe wasizuiwe kufanya UKU**
[emoji85] [emoji85] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Kipanya ni noma....
Natabiri haya kutokea:-

1- Kipanya aitwa na jeshi la police
2- Kipanya akamatwa
3- Kipanya aitwa kuhojiwa
4- Kipanya ashtakiwa kwa uchochezi
5- Kipanya matatani tena
6- Kipanya anaogopwa na jeshi la police
7- Kipanya amfunga paka kengele
8- Kipanya katuni yasababisha gazeti lafungiwa
9- Kipanya kuliponza gazeti la.....
10- Kipanya katuni, gazeti lapewa onyo kali
 
Mie sijaona kosa la kipanya....wakiamua kumfanyia hayo ni sababu tu wana nguvu kwenye nchi na wala si kwamba kuna kosa.
 
Mie sijaona kosa la kipanya....wakiamua kumfanyia hayo ni sababu tu wana nguvu kwenye nchi na wala si kwamba kuna kosa.
Kipanya hajakosea, kipanya ametoa kile tunacho kiita ujumbe kupitia sanaa.....
Ingawa nahisi kama kisu kimechoma kwenye mfupa...[emoji13] [emoji13]

Huo ni mtazamo wangu tu comrade
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Na ujumbe wake umeeleweka haswaaaaa......[emoji106]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom