Katuni inaongea.

Katuni inaongea.

Diesel generator

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
706
Reaction score
663
Inasemaje hii?
131698_600.jpg
 
...............Yaani hapo hao askari wanajaribu kupata picha kwamba kama ikitokea nikapata kazi ya kupeleleza hii case basi lazima na mimi nimvue nguo nimfanye alichokuja kulalamika hapa,wanaona ni kama kilichompata alijitakia.

Refer issue ya Amba nini sijui!!
Wale Askari wote wameambukizwa ngoma.
Kumbe ambar ni short.
 
Hao ni polisi,na huyo demu ni polisi mwenzao ila inaonekana ndo amefika kuripoti as ana cheti mkononi! Kwahiyo hao wanaume wamemtamani,kila mmoja hapo anamfikiria namna atakavyomsaula milozi
 
Back
Top Bottom