Katuni chokonozi

Katuni chokonozi

sk2000

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2012
Posts
754
Reaction score
436
attachment.php

Naona kinywaji cha mkuu kinakata. Mu7 kapiga Phase 1 phase 2 kahama kiti yuko kwenye non stop.. Kagame kapiga Pase 1 Phase 2 kahama kiti yuko Phase 3. Nkuru anataka one more Kenyata bado ana mbili zake safi.
 
Attachments

  • 11139461_987974157914578_7697035687896051971_n.jpg
    11139461_987974157914578_7697035687896051971_n.jpg
    81.8 KB · Views: 2,454
Leo hao watashauri nini???? maana aliyebaki afadhali hapo ni JK tu, lakni anakashfa kubwa kushinda wote hao kuwa nchi imemshinda, utachukua mawazo kwa mtu ambaye nchi imemshinda??? 1USD 2060TZS, ESCROW, EPA, Richmond, Merameta, DeepGreen, Tokomeza etc
 
Kwa kawaida kauli za kusema nchi imemshinda Rais zinatolewa kwa nchi ambayo kuna uhuru mkubwa wa kutoa maoni. Ka hili sidhani kama kuna mtu atasema kuwa Rais nchi imemshinda
 
Lizaboni kushindwa ni kushindwa tu hata kama urais nao utawekewa viwango duni ili apete kama madaraja ya mitihani sekondari BRN hadi ikulu???
 
Lizaboni kushindwa ni kushindwa tu hata kama urais nao utawekewa viwango duni ili apete kama madaraja ya mitihani sekondari BRN hadi ikulu???
Katika utawala wa kidemokrasia, utawala wa sheria na maamuzi ya wengi hutawala utendaji wa shughuli zote. Ila utawala wa kidikteta kama wa Kagame na Museveni, nchi huongozwq na mtu mmoja tu.
 
Mbona hata JK alisema urais wake hauna ubia na mtu, si vinafanana au kwa vile ni JK Lizaboni
 
Leo hao watashauri nini???? maana aliyebaki afadhali hapo ni JK tu, lakni anakashfa kubwa kushinda wote hao kuwa nchi imemshinda, utachukua mawazo kwa mtu ambaye nchi imemshinda??? 1USD 2060TZS, ESCROW, EPA, Richmond, Merameta, DeepGreen, Tokomeza etc
EPA, Merameta, DeepGreen zinamhusu mkapa zaidi kuliko Kikwete.
 
Kwa kawaida kauli za kusema nchi imemshinda Rais zinatolewa kwa nchi ambayo kuna uhuru mkubwa wa kutoa maoni. Ka hili sidhani kama kuna mtu atasema kuwa Rais nchi imemshinda
Hata hivyo uhuru ule ushaondolewa na sheria ya makosa ya mitandao! Hata JF kama unaitazama kwa ndani imeshaanza kuathirika!
 
Ilivyosomeka katuni chokonozi nilifikiri kuna katuni anapakuliwa kizenji, nilitamani kuona kashikishwaje ukuta. Jamani kuweni makini na maandiko yenu
 
Uongozi wa TZ unasema hautambui mapinduzi hayo, mbona madagasca nilimsikia waziri wa mambo ya nchi za nje tx akisema kwamba nchi za sadc hazitambui mapinduzi ya madagasca, lakini rais wa madagasca alipokuja tanzania alipokelewa vizuri,
 
Back
Top Bottom