Knock life JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 2,465 Reaction score 7,763 Aug 16, 2025 #1 Najua anatumika Katuga Ila anabidi kujitafakari
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,420 Reaction score 8,359 Aug 16, 2025 #2 Huu uandishi ni wa mwenda kasi. Ungetulia uandike vizuri ndugu. Je, Katika ni nani na amefanya nini cha kumfanya ajitafakari?
Huu uandishi ni wa mwenda kasi. Ungetulia uandike vizuri ndugu. Je, Katika ni nani na amefanya nini cha kumfanya ajitafakari?
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,277 Aug 16, 2025 #3 Jamaa anatumika na bilashaka aliwauliza wanaomtuma kwenye inshu ya kesi ya Lissu kuhusu malipo na mengineyo.
Jamaa anatumika na bilashaka aliwauliza wanaomtuma kwenye inshu ya kesi ya Lissu kuhusu malipo na mengineyo.