Katu usimkekete binti yako...

[emoji23][emoji23][emoji23]hii kitu ni uonevu mkubwa kwa wanawake
 
Mimi mbona nishawagegeda kibao tu wamekatwa na wana mzuka uleule mautamu yale yale tu sikuona tofauti zaidi ya maumbile tu kuwa tofauti
 
Faida ya kukeketwa ni nn? Na nani anapata hiyo faida, tuanzie hapo.
Faida zipo, ila siyo kwa mtoto anayekeketwa.
Kwa mfano za kiuchumi kama fedha na zawadi wanazopata mangariba kila misimu ya ukeketaji, washereheshaji wanatengeneza hela, wauza ng'ombe, vitenge, khanga...washonesha nguo za sherehe...kuna uchumi mkubwa kwenye ukeketaji sio mila pekee. Hata mahari ya binti aliyekeketwa na ambaye hajakeketwa ni tofauti

Kuna mengi sana nyuma ya ukeketaji. Kosa tunalofanya nikudhani ni "mila potofu" tu. Ukeketaji una madhara makubwa kwa lile tendo, ila ndani yake kuna mila zenye faida ambazo zinaweza kuendelezwa.
 
Duh, faida ulizotaja ni minor Sana ukilinganisha hasara anazopata mkeketwaji. Daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…