Nadhani huna unacho amini kama uwanaharakati kwako ni tatizo. Upo miongoni mwa wavivu kufikiri. We hufahamu kuwa mwanaharakati ndo mwanasiasa mzuri? Wewe upo nyuma na wakati, eti ubunifu ndo unakunyima kuunga mkono cdm! Mvivu wa kufikiri, Ccm wamekosa ubunifu ndo maana wanatumia nguvu katika siasa. Ndo maana tumeshindwa kusonga mbele.
Wewe ni nani kwani? TATIZO HUMU JANVINI KUNA WATU WANATAFUTA SIFA ZA KUFA MTU NA SIFA ZA KUTAFUTIA HUKU HAZINA TIJA KABISA MKUU, KAMA UNATAFUTA SIFA NENDA JUKWAANI TANGAZA HILI HAPO UTAONEKANA,
kwani siasa si harakati? wakina Nyerere walikuwa wanafanya nini? cheki yule mama wa BAMA ni mwanaharakati na ni mwana siasa, Tatizo mnasoma story za waansidhi uvhwara na kueta hizo story humu, NA KAMA WEWE UMESOMA TUTOFAUTISHE SIASA NA HARAKATI UKITOA NA MIFANO HAI NA CHUKUA MIFANO YA WATU WA NCHI ZINGINE
Kunguru mweusi, nakuhakikishia kuwa CDM, haikuhitaji na wala haikuwazii kabisa, na ukirogwa uombe kujiunga utafukuzwa kama mbwa. Wewe gamba, endelea kuwa gamba hivyo hivyo!