Sitegemei kabisa kukiunga Mkono Chadema.
a)Wabaguzi
b)Wabunifu wa matukio kuliko uhalisia
c)Zaidi ni wanaharakati kuliko wanasiasa
Thanks
Sawa, hauko peke yako...wezi, mafisadi, wala rushwa, wanafiki, wauaji, walafi na mazezeta maelfu kadhaa wako nyuma yako wanakupa support. Sisi wengine tunakutakieni tu safari njema huko mnakoelekea wote msiopenda maisha bora!Sitegemei kabisa kukiunga Mkono Chadema.
a)Wabaguzi
b)Wabunifu wa matukio kuliko uhalisia
c)Zaidi ni wanaharakati kuliko wanasiasa
Thanks
kabla cjayatoa yaliyopo moyoni hebu nipe tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati !Sitegemei kabisa kukiunga Mkono Chadema.
a)Wabaguzi
b)Wabunifu wa matukio kuliko uhalisia
c)Zaidi ni wanaharakati kuliko wanasiasa
Thanks