Katoto kazuri

Katoto kazuri

Mimi ni mtu mzima na jitambua ila siwezi onyesha humu mimi ni mtu waaina gani yanini?
Hata kama nina watu wananikubali humu siwezi kuprove kwamba i am a big girl .
Niko huru hii nchi ni huru so naamua kuwa mtoto mdada mmama ninavyotaka do you know why iam who i am .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be yourself and only yourself. Life is too short to give a ***. Let them adjust [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katoto kazuri leo umepatikana Wallahi. Naona unatapatapa kweli.

Jitahidi siku nyingine ufanye marekebisho kwa baadhi ya mada utakazohitaji zisomwe humu. Ukisema hulipwi kwa kutoa post zenye akili. Ni kwamba unalipwa kutoa post kama hii ya leo ambayo imenishtua mpaka mimi Mumeo.

Comments za hapa sichukulie poa My dear. Ila fanyia kazi uliyoambiwa.
 
kuna muda unasoma uzi huku ukiwa na stress zako kadri unavyojitahidi kusoma uelewe ndo unazidi kuona duble duble unaamua kuachana nao kusoma komenti sasa hapo ndo unajiona kumbe upo sawa ila mwenye matatizo ni mtoa mada

by the way jitahidi kuweka stori zako vizuri, hauko mbaaali kivile kumfikia Kasie au Money Penny kwenye vistori vyenu kama hivi


katoto
 
Huwa napenda sana kusoma threads za wadada wanaopenda kuchangia masuala mbalimbali hapa JF na kusema kweli zinanifurahisha, ila ninapokuja kwenye nyuzi zako. . . Dah 90% ni mavi ya kuku. Who told you being stupid is sexy! ? Who told you being slutty is fantastic! The sexiest thing in the entire world is being really smart. And being thoughtful. And being generous. Everything else is crap!
Marvellous
 
Basi juzi nilikuwa na pita bhana kuelekea shule akatokea kijana mtanashati nikasema loh ni viben ten au nini kidogo akawatu amuita ni kasichana fulani kachotara .
Baby baby yule kaka akasema what ???
I love you jamani katoto kazuri nenda shule salama.
Akampatia kimfuko kinachonukia kuangalia kumbe vitafunwa na supu tu nzuri ya kuku.
Nikawaza bado kunawatu wanajaliana kiasi hiki?
Ila yule kaka alikuwa handsome sana ila kakosa kitu kimoja usafiri.
Huwa mtu kama hana usafiri mmh! Unakaa pembeni kabisa unafunga zipper yako.
Halafu bado mwanafunzi.
So huwezi wekwa mtu baki.
Ila alikuwa ka handsome kweli.
Natupogi majirani muda nikitoka anatoka.
Mkewe ni mkubwa kiumri mf.25 kahandsome mkewe 34 au 36 so ninawaza haya maisha yao ila hadi wameona wanawezana.
Basi tu yangu macho sitaki dhuluma.
Ila hata hako katoto kao combination yao ni amazing katoto kanamiaka miwili so amazing kazuri balaah!.
Je kuna mtu humu anayepewa msaada na mkewe kwa lolote kwa maana huyo mdada anampa kila kitu yule jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan wewe dem bwana ulivyo ulivyo sasa kama furushi tumbo halijulikani liko wapi,unavyopenda sasa mahandsome sasa,wanasema hakuna mtu mbaya!lakini wewe demu ni mbaya na mbovu!
Ova!
 
Yaan wewe dem bwana ulivyo ulivyo sasa kama furushi tumbo halijulikani liko wapi,unavyopenda sasa mahandsome sasa,wanasema hakuna mtu mbaya!lakini wewe demu ni mbaya na mbovu!
Ova!
Sikushangai unakichaa mimi sihangaikagi na vichaa ova .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom