Katoto kazuri

Katoto kazuri

Kubwa kabisa hilo, ila nadhani kuna kitu hakiko sawa kichwani.

Nilikutana nalo ktk harakati za vijana.. Acha tu.

Sent using Unknown device
Daaahh!! But why?? Sijui nimelichukuliaje hili swala ila kulikua na ulazima kweli wa kuliweka hili swala jamvini mkuu?? Samahani lakini mkuu
 
mambo ya kutype ukiwa umesimama kwenye daladala haya
 
Kaletewa mfuko unanukia vizuri, kufunua mfuko ukaona supu ya kuku?

Huko kwenu supu mnabeba kwenye mifuko?

Ka uzi ka kitoto, kutoka kwa katoto kaongo!

- KANA -
 
Kaletewa mfuko unanukia vizuri, kufunua mfuko ukaona supu ya kuku?

Huko kwenu supu mnabeba kwenye mifuko?

Ka uzi ka kitoto, kutoka kwa katoto kaongo!

- KANA -
[emoji23][emoji23][emoji23] supu kwenye mfuko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom