Katoto kazuri kugombea ubunge

Katoto kazuri kugombea ubunge

Mnaonaje katoto kazuri kugombea ubunge viti maalum kwanza naweza kuongea na busara na hekima na pia najitambua pia nyie mnalionaje hili 2025 nikagombea??
Tiketi ya CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tujue jinsia yako manake siku izi wanaume wanajiita majina ya vyakula sijui raybaby sijui delicious na mengineyo

Thibitisha nione namna ya kukusaidia mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ungombee ubunge wa kunyanyasa wanaume![emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mnaonaje katoto kazuri kugombea ubunge viti maalum kwanza naweza kuongea na busara na hekima na pia najitambua pia nyie mnalionaje hili 2025 nikagombea??
Tiketi ya CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinadharia unaweza ukafaa, kivitendo nitakuwa na walakini kidogo ila nitaanza kuamini kuwa unafaa pale tu utakavyodhihirisha kwa vitendo kwamba hukukosewa kuteuliwa. Ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom