issaaman
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 1,146
- 1,381
Ni rahisi tu kupata ila tayarisha rushwa ya ngono kupata hicho kitiKumbee mi nilikuwa sijui kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi tu kupata ila tayarisha rushwa ya ngono kupata hicho kitiKumbee mi nilikuwa sijui kwa kweli
Lakini kile chama chetu pendwa cha kaskazini hawatumii njia hiyo. Wao ni hutegemea jinsi unavyohudumia chakula cha baba kwa wakubwaYes lazima wajue kama utaweza kuhandle hiyo position and then ndio wakuappoint kama umemzidi mwenzio kwa maksi i mean kama mjudge wameagree.
Nakunaile mtu anapointiwa tu ila lazima ugombee hicho kit hupewi hivi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbeeeLakini kile chama chetu pendwa cha kaskazini hawatumii njia hiyo. Wao ni hutegemea jinsi unavyohudumia chakula cha baba kwa wakubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri huko nikawachambe huko.Wewe endelea kuwachamba wenzio tu humu JF.Bunge litakupeleka mbiombio.
Hebu nenda jukwaa la siasa ukachangie kitu nione makamasi yako yana uzito kiasi gani!Maana mara ya mwisho kukusoma kwenye uzi fulani ulikuwa unalalamikia "kampuni za uchukuzi" walizofungua akina dada kwa kutoroka na vitu vya nyumbani vya mabwana zao.Utaweza kuwatetea bungeni kweli?Vizuri huko nikawachambe huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitatetea watu ambaye wanaishi kwenye mazingira magumu hasa watoto.Hebu nenda jukwaa la siasa ukachangie kitu nione makamasi yako yana uzito kiasi gani!Maana mara ya mwisho kukusoma kwenye uzi fulani ulikuwa unalalamikia "kampuni za uchukuzi" walizofungua akina dada kwa kutoroka na vitu vya nyumbani vya mabwana zao.Utaweza kuwatetea bungeni kweli?
Kumbe weye unapaswa kusubiri "kiti-kizuri cha kugawiwa" ili upate unaibu waziri.Mimi nitatetea watu ambaye wanaishi kwenye mazingira magumu hasa watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku nitakuwa huko kwanza nahitaji nipate mtu wa serikali ili nipate ubunge hapo vyote namalizaKumbe weye unapaswa kusubiri "kiti-kizuri chsbkugawiwa" ili upate unaibu waziri.
Jitahidi unaweza kufanikiwa.Ipo siku nitakuwa huko kwanza nahitaji nipate mtu wa serikali ili nipate ubunge hapo vyote namaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Astaghifilullah!Sasa kule atamuwakilisha nani hasa?Labda ubunge wa kimboka
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na vijicho najua Mungu yupo.Astaghifilullah!Sasa kule atamuwakilisha nani hasa?
Nafahamu hilo.Na meneja kampeni wako awe mhishimiwa Zero IQ your husband to be.Achana na vijicho najua Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Unamkatisha tamaa kabisa.Sifa zote za kugombea unazo, ila moja tu ndio hauna.
Wewe ni kichaa
😂😂😂😂😂😂😂😂Tatizo una kichwa resi sana