katoto ka nursery kanaimba...

katoto ka nursery kanaimba...

Ha ha ha ha...hii funika bovu man..i loved it
 
aaah,jamani kwa hiyo sisi makonda ndio......!siyo vizuri hivyo!
 
Du nigekuwepo nakalipia nauli, sina mbavu. Hawa makonda wanajidai sana
 
kama ningekuwa ndo konda au kwa tabia za makonda ni lazima alikashusha kwa makwenzi kakapanda gari nyingine
 
huyo dogo hiyo ndo ilikuwa siku yake ya mwisho kupanda hiyo daladala. I am sure konda alimkremu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom