katoto ka nursery kanaimba...

katoto ka nursery kanaimba...

Matti

Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
94
Reaction score
5
Ktk daladala katoto ka nursery kanaimba "baba angekua jogoo na mama kuku mi ningekua kifaranga", watu kimya.
Akaendelea "baba angekua beberu na mama mbuzi mi ningekua ndama",
konda akaona kanamzingua akakiuliza je baba angekua baamedi na mama malaya we ungezaliwa nani? Katoto kakajibu "si ningekua konda wa daladala!"
teh teh teheeeh... Watu hoi.
 
Mhh imekaa kidhalilishaji zaidi,kwani kila konda ni zao la ulowataja:coffee:
 
Baba akiwa Waziri na Mama mbunge si ni ngekuwa Fisadi
 
Acha kuhoji ovyo watoto wa leo wana majibu ya kitemi
 
uwiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mieeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom