katika website "Copyright © 2011" huu mwaka una maana gani?

katika website "Copyright © 2011" huu mwaka una maana gani?

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
408
kwenye websites nyingi nimeona hichi kitu copyright © 2011, so nauliza huu mwaka una maanisha nini wataalamu wa mambo?​
 
imefunguliwa huo mwaka

kama ilianza mwaka huo basi uwa wanaweka mwaka huo - mwaka wa sasa.

hiyo ina maana content copyright ni valid since wakati huo mpaka sasa, ndo maana uwa inawekwa ya current year,

sema hao jamaa ni wavivu wanashindwa hata kuweka code inayogeuza mwaka yenyewe
 
hivi haimaanishi kwamba ndo last updates ya hiyo website?
 
imefunguliwa huo mwaka

copyright ni mojawapo ya business rights inayompa ruhusa ya kumiliki mali,au bidhaa nk.humzuia mtu mwingine kutoiga au kukopy anachofanya mwingine kisheria. Kwamfano coca cola companies wanatumia alama ya copyright ,kwa hiyo huwezi ukakurupuka siku moja ukaanzisha kampuni halafu ukaiita cocacola.
Pia alama hii humpa mtu ruhusa ya kucopy technologia au ujuzi. Mfano bottling companies kama kwanza,bonitte,zinacopy procedure na njia za kutengeneza vinywaji kutoka kwenye kampuni ya cocacola marekani.
Wengi wanatumia alama hii wakiwa hawafahamu maana yake halisi. Alsma nyingine trademark TM na registered zinatumika kwenye hatimiliki ya bidhaa.
 
hivi haimaanishi kwamba ndo last updates ya hiyo website?
hapana, ni umiliki wa content ya hiyo website, yani yaliyomo ndani hayaruhusiwi kunakiliwa bila idhini ya mmiliki wa tovuti husika
 
hapana, ni umiliki wa content ya hiyo website, yani yaliyomo ndani hayaruhusiwi kunakiliwa bila idhini ya mmiliki wa tovuti husika

ok mkuu nimekuelewa, sasa naomba unisaidie niko kwenye research flan nataka niangalie time intervals wanavyo updates websites zao, so ntajuaje website flan imefanyiwa update kwa muda gani?
 
ok mkuu nimekuelewa, sasa naomba unisaidie niko kwenye research flan nataka niangalie time intervals wanavyo updates websites zao, so ntajuaje website flan imefanyiwa update kwa muda gani?
when was last updated au?
 
c inakaaga sometimes hivi
Copyright (c) 1997-2013 hapo inaamanisha
ilianza rasmi 1997 na the current update(kwa maana ya mwaka huu ambapo its still operating) ni 2013.
Labda km una maana nyngne ya ku update!
 
Back
Top Bottom