Arfi said alikuwa mbunge wa mpanda mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Pia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti bara. Huyu mh alionesha kiburi chake ktk BMK eti katumwa na wanampanda kutetea maoni yao.
Kwa sasa anajuta,ameondoka CHADEMA, akajiunga na CCM na alichukua fomu ya Ubunge kupitia CCM,matokeo yake kapigwa chini kura za maoni. Sasa hivi anahaha hajui cha kufanya,anazomewa kila mahali. Haya ndio matokeo ya usaliti.
Mtu mwingine anayejuta kujiona much know ndani ya CHADEMA ni ZZK,hasikiki tena na hana jipya. Wale wabunge 50 aliowasema sijui wamepotelea wapi au ndio ule uongo,uhuni na uzushi wake wa mabilioni ya uswisi?
Sisi tuko UKAWA,ndio habari ya mjini.